Mkuu hama unafanya nini huko.Hapa sasa mkuu wangu deeppond unatuacha kwenye mataa wafuasi wako wa princess[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zote ziko kipengele cha kwanza cha "Match bet"mkuu hiyo option sijaiona. inapatikana kipengele gani?
Hzo option princess hakuna mkuu.Hapa sasa mkuu wangu deeppond unatuacha kwenye mataa wafuasi wako wa princess[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha....Mkuu hama unafanya nini huko.
Eti 1xbet wanaipa timu handicap ya vikapu 13 wakati inazidiwa vikapu vinne tu inplay halafu odds eti ni 2 jana nimempuna vya kutosha
Hii pesaa inaenda soma wapi directly kwa account auTigopesa, lipia bili 4, namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet, amount 14k, password
Mkuu utanifanya nihamie hukoHzo option princess hakuna mkuu.
Option za pesa hizi.
Eti unaulizwa,
"Kwny mechi ya Leo, Chelsea na Brighton. Je, litafungwa goli lolote kwa mguu?"
Jibu: NDIOOOOOOOOOO
Ha ha ha......
Sijui ntakua ni mjinga wa aina gani nikisema hapana!
Kwani hii imekua netiboli kwamba wasifunge goli kwa mguu!
Dah, hiyo kitu mm kwnyw imentokea.Wadau hapa nimekwama; kila nikiweka details napata maelezo hayo kwenye 1xbet. Nifanyeje?
View attachment 680559
Pro code za 1×bet pleaseHa ha ha....
HAWA jamaa ni raga sana.
Hadi corner, unaweza kubet hata over 4.5 corner mechi nzima
Promo code za 1×bet pleaseHa ha ha....
HAWA jamaa ni raga sana.
Hadi corner, unaweza kubet hata over 4.5 corner mechi nzima
Kwahiyo ulifanikiwa kudepost kwa njia gani maana hatamimi tangu asubuhi wameshikilia elf10, ulifanikiwaje kudepost tena?Dah, hiyo kitu mm kwnyw imentokea.
Imesababisha mpk sahv wameshikilia ela yngu hewani.
Aisee hpo sjui mkuu, mm bado mgeni kwa HAWA jamaaPro code za 1×bet please
Promo code za 1×bet please
Nlideposit kwa njia nyngn, yaKwahiyo ulifanikiwa kudepost kwa njia gani maana hatamimi tangu asubuhi wameshikilia elf10, ulifanikiwaje kudepost tena?
Naomba unisaidie promo code ya 1xbet DeepPondDah, hiyo kitu mm kwnyw imentokea.
Imesababisha mpk sahv wameshikilia ela yngu hewani.
OK funguka hapa hiyo njia ili nasi tujaribuNlideposit kwa njia nyngn, ya
minimum.1500