Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahsante bro
 
Mi nimefanya hivi, Lakini hela haijaingia hadi leo
 
Una cash out vp
 
Mi nimefanya hivi, Lakini hela haijaingia hadi leo


Ni kweli hata mm kuna hela nilideposit siku ya kwanza najiunga nao mpk leo haijaingia. Nliwatumia email wakasema kulikuwa na technical issues upande wa kudeposit kupitia M-Pesa.
 
Mm nimwaachia elf 10 ntakuwa sibet kwwao naangalia live stream tu
 
unaona sasa mambo yalivyo matamu kumbe shida ilikua kwako

umetumia njia gani
Watu wanacomplicate vitu mwanzo nilivyokua nasoma comment za watu niliogopa kudiposit 1xbet leo nikasema nipoteze iyo 1500 mbona fasta tu imesoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…