Tunamuomba apa aje abaelezee ... 100%Mkeka wa Proffesor chali!
Game ya kwanza ni Beitar Kfar Saba v Hapoel Kfar Saba watu wameweka kamba dk 7.
Jamaa aje hapa na 100% sure sasa...
Mmmh haya magundu sasaMkeka wa Proffesor chali!
Game ya kwanza ni Beitar Kfar Saba v Hapoel Kfar Saba watu wameweka kamba dk 7.
Jamaa aje hapa na 100% sure sasa...
Mmmh haya magundu sasa
Mbona wengine wakileta mikeka yao tufate huwa hamuongei sana?
Kunachanika mkeka jambo la kawaida ndio maana ya halisi ya kubet.
Ndio maana wengine hawaleti mikeka yaoPoint siyo gundu! Proffessor alitapa sana hapa jukwaani kuwa 10 min draw ni uhakika 100% watu tukampinga! Leo atakuwa ameelewa sasa hakuna 100% kwenye Betting!
Usichukulie kwenye mtazamo huo ulionao hapa. Hakuna mtu anaomba mwenzie apoteze pesa. Ni hayo tu, topic closed!
mkuu hatuombeani kupoteza but lengo ni kupeana maoni na ushauri. mtu anaposema ni sure 100% kuna wengine ni wageni wanaweza ingia kwa miguu yote akaweka kisha akapoteza. kumbe kaweka pesa ya ada, kodi etc. itakuwaje? kilichotuogopesha ni yeye kutaka kuaminisha watu kuwa 10 min x ni uakika 100% wakati si kweli hakuna 100% kwenye bettingNdio maana wengine hawaleti mikeka yao
Kuanzia leo sizani kama Pro ataleta mkeka
All the bestmkuu hatuombeani kupoteza but lengo ni kupeana maoni na ushauri. mtu anaposema ni sure 100% kuna wengine ni wageni wanaweza ingia kwa miguu yote akaweka kisha akapoteza. kumbe kaweka pesa ya ada, kodi etc. itakuwaje? kilichotuogopesha ni yeye kutaka kuaminisha watu kuwa 10 min x ni uakika 100% wakati si kweli hakuna 100% kwenye betting
Jumamosi alikuwa Real Oviedo
Jumapili alikuwa Nice
Jumatatu alikuwa Eibar
Jumanne ni Margate
Dah,Mkeka wa Proffesor chali!
Game ya kwanza ni Beitar Kfar Saba v Hapoel Kfar Saba watu wameweka kamba dk 7.
Jamaa aje hapa na 100% sure sasa...