Duuuu njia ndefu sana hii mm kumbukumbu no siendag uko dusupayNitakuelekeza kwa mpesa
Ingia kwenye account yako alafu nenda kwenye my account alafu chagua deposit, then kwenye method of payment shuka adi vodacom mpesa. Alafu ingiza kiasi unachotaka kudepost(kisiwe chini ya sh 2000) alafu bonyeza confirm.
Itakuja form imeandikwa complete your payment, iache ivyo ivyo nenda ukafanye sasa malipo kwa mpesa.
Number ya kampuni ni 400700, kumbukumbu number andika 008 dusupay. Then kamilisha muamala wako(kiasi utakacholipia huku kiwe kile kile ulichoandika kule kweny account yako)
Utatumiwa msg ya mpesa kuonyesha umelipa kiasi fulani m lipa. Kwenye hiyo msg ya mpesa chukua izo no km izi 5AN714IOEP1
Rudi kwenye ile account yako ukajaze ile form. Andika majina yako(nafkiri majina yanayotakiwa ni yale uliyojisajilia mpesa), kwenye method of payment chagua mpesa, kwenye transaction Id andika zile namba ulizocopy kutoka kwenye ile msg ya mpesa(5AN714IOEP1), kwenye email sio lzm ujaze then bonyeza OK apo chini ya form.
Apo utakuwa umekamilisha malipo kacheki balane yako.
Q1 natumiaga Meridian au 1xbet....
Princessbet km game haijaanza ni 1st half tu, lkn Inplay wanawekaga ubashiri wa Q1 sema ndiyo inabidi uwe umejipanga mapema kabisa
London, Moncton, Niagara river
No goal in 5mins imenishinda.lazima team moja ifungeWale wadau wa 10 min X uhakika ni sanaaa.. 100% sure
Team ngap unawekaNo goal in 5mins imenishinda.lazima team moja ifunge
Sita sabaTeam ngap unaweka
Mkuu mbn mm natumia 1xbet ila hiyo option siion nifahamishe vzr naipatajeSita saba
Weka zenye uwezo sawa.... ... au home team kibondeSita saba
Poa poa, nakutakia uwekezaji mwema mkuuSafi sanaaa asante pia yaan sekunde tu hela yangu nimeiona big up
Naomba unifahamishe jinsi ya kuipata hiyo option plzWeka zenye uwezo sawa.... ... au home team kibonde
...
1xbet kuna hii, under 0.5 ndani ya dakika 10. Yani goal lisipatikane ndan ya dakika 10.Mkuu mbn mm natumia 1xbet ila hiyo option siion nifahamishe vzr naipataje
To happen in 5minsMkuu mbn mm natumia 1xbet ila hiyo option siion nifahamishe vzr naipataje
Bas naomba uwe unapost game zinazokuwa na hiyo option plz ndg km unazo ambazo bd azijaanza naomba nikufuateTo happen in 5mins
Si game zote zinazo hii option
Sijakupata mkuuuu...Naomba unifahamishe jinsi ya kuipata hiyo option plz
Option ya five minutes or ten minutes no goalSijakupata mkuuuu...
Natumia 1xbetSijakupata mkuuuu...
Hiii 10 min X uhakika... ipo Meridian kila game.. scroll chini kbsaa ipo.Option ya five minutes or ten minutes no goal
BET WONSampdoria V AS Roma
2 - 4 Goals : Yes
1.47
Arsenal V Chelsea
1 - 3 Goals : Yes
1.50
Real Madrid V Leganes
2 - 5 Goals : Yes
1.26
Odds 2.78