Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapigie uwazingue
Hapo majibu ya voda watasema ni mtandao tu,. Kama kuna mdau atafanikiwa kudeposit na voda atujuze, tusije wekeza pesa yetu voda mpaka jumatatu
 
daa voda washafanya yao 1xbet. SMS haijaja na pesa haijasoma kwa account. nimewasiliana na m lipa wamenambia hawawezi fanya chochote bila namba ya muamala, voda nimewasiliana nao wanadai kunatatizo la kimtandao kuwa tatizo linashughulikiwa ndani ya masaa 72. yaani kuna uwezekano Leo nisibet kabisa maana hawa voda wangese kweli
 
Sure, leo M-Pesa wana ttzo la kimtandao nn? ... nimedeposit nusu saa iliyopita mpk saiv sijapata sms ya uthibitisho wa malipo.
Tz makampuny yanayohuduma
kimtandao n zaid ya ma 4 Ila
Hakuna cku wanaisshiwa makosa

Yan anytime mtandao unafel
Sasa cjui n kumaanisha makampuny
Yote yanalemewa na wateja ama nn

Lkn Kenya kampany inayohumdumu
Kwenye kuoparet maswala ya pesa
Kuweka,kutoa,kudepst,ku withdraw,
N safaricom ndo umeshikilia

Nchi nzima ya Kenya yan 97%
Wao ndo wameshikilia kenya
Na hakuna sku utaskia kuna ttz
La kimtandao maybe waseme
wanafanya serves

Hou comes tz makampuny n zaid ya 5
Lkn ttz hua haliish kila sku ndo
Mattz yanaongezeka
 
Hapo majibu ya voda watasema ni mtandao tu,. Kama kuna mdau atafanikiwa kudeposit na voda atujuze, tusije wekeza pesa yetu voda mpaka jumatatu
Mimi nimefanikiwa ila kwa hiyo e lipa
 
Aiseee Pole sana mkuu
 
Msaada ni company apart from 1xbet gani ya bet inakupa option ya kusell odds
 


Yani haiishii makampuni ya simu tu, kuna kitu kinaitwa TANESCO ... if u know warra i mean. Balaa ... halafu ni mara chache sn utafahamishwa in advance, mara nying huduma inakatika bila taarifa yoyote.

Seriousness = 0.000001%
 
Naomba namba ya mlipa
 


Pole sn Chief ... hauko peke yako.

Kwenye account 1xbet ilibaki 5,000/= nilitaka niongeze lkn imeshindikana, itabidi nipambane na nilichonacho. Leo ndo ukiskia kutafuta laki 5 kwa buku ... hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…