Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sn Chief ... hauko peke yako.

Kwenye account 1xbet ilibaki 5,000/= nilitaka niongeze lkn imeshindikana, itabidi nipambane na nilichonacho. Leo ndo ukiskia kutafuta laki 5 kwa buku ... hahahah
We laki tano tu kwa buku wakat wengne wanatafta milion mbili kwa jero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hv hawa 1xbet registration ni Kwa kutumia namba ya simu tu hakuna ya kutumia email? Maana wamenitumia username kwenye Message ambayo ni namba yangu but still inakataa kulogin
 
Pole sn Chief ... hauko peke yako.

Kwenye account 1xbet ilibaki 5,000/= nilitaka niongeze lkn imeshindikana, itabidi nipambane na nilichonacho. Leo ndo ukiskia kutafuta laki 5 kwa buku ... hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pole sn Chief ... hauko peke yako.

Kwenye account 1xbet ilibaki 5,000/= nilitaka niongeze lkn imeshindikana, itabidi nipambane na nilichonacho. Leo ndo ukiskia kutafuta laki 5 kwa buku ... hahahah
kuna mdau hapo juu amesema kuwa amefanikiwa kudepost kwa kuwatumia e lipa, napo nimejaribu pia nimeingia kingi hela haijaingia wala SMS sijaletewa. yaani hapa kichwa kinavuruga kazi zimegoma kbx bora nikalale
 
Sure, leo M-Pesa wana ttzo la kimtandao nn? ... nimedeposit nusu saa iliyopita mpk saiv sijapata sms ya uthibitisho wa malipo.

Nimeongea na huduma kwa wateja, wamenijibu kuna tatizo la kimtandao.

Nilipanga kumpa Dongbu win wakati huo ana odds 3.48, na Seoul over 176.5 wakati huo odds ni 1.87.


Dah ulikuwa utajiri wa asubuhi asubuhi
 
Mbona wametoka fresh leo

Directly win ilikuwa odds 1.02, sasa vikapu kavuka 60 q4 ambayo kwa kawaida huwa hafikishagi hata 25 yeye mwenyewe.

Kwa kifupi hatabiriki kabisa kwa sasa, hana trend ya kueleweka.
 
Naam mkuu kidogo speed yao imepungua lakini mie bado NAWAAMINI,kama game ya leo walikua vikapu -13 ndo nikawekeza, inataka moyo kwa kweli.

Leo mara ya nne wamenimaliza, usiku wa leo nawawekea Q1 over 59.5 nikitegemea Denver nuggets atampa changamoto kufikisha hapo.

Wakiharibu leo, nitawapumzisha
 
Buddy nilikufanya shamba darasa hembu nipe mrejesho kidogo jinsi ya kujiunga japo nifungue account huko leo
 
Mkuu umepotea sana, msimu huu unajitokeza mara moja moja mno na unajitokeza na kokoro tu.

Karibu sana


Ni kweli mkuu!

Msimu huu nimekuwa adimu sana hapa jukwaani. Majukumu ya kimaisha yananipiga kabali, yaani hata kupata kamuda ka kuandaa kokoro zetu zile za uhakika huwa nakosa kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…