Mkeka umetuliaWale wazee wa 1xbet
Ushaur wenu before nilipuke hapa
Ngoja nirud kwenye ki tecno M3 dah ila huwa inastack ila pesa ntapga.Disco lshaingia vumbi
Itabd ukomae nacho hvo hvoNgoja nirud kwenye ki tecno M3 dah ila huwa inastack ila pesa ntapga.
Ahsante mkuu najifumba machoMkeka umetulia
Wasiwasi kdg labda kwa alaves.
Ila wengn wote naona wako poa sana
Niko safar mkuu,Mkuu uliadimika sana, sijui ni vichapo vya kanji vilikupoteza ?
Daa na mm pia msg haijarud ya voda na account inasoma vile vileMkuu namba ya Mlipa please
Tip,
Wale wenzangu wa 1xbet
Mpe Bournemouth ushindi wa corner mwanzo mwisho
Stoke akiwa away ni mtepeto sana na muoga sana kushambulia
Bila shaka inaodds tamu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo option hamna anaiweza proffeser
Ngumu kumeza kweli hii
Siku za weekend mara nyingi huwa kuna usumbufu wa kudeposit katika kampuni za kubet kupitia mitandao yetu ya simu sijui ni kwa sababu wanaelemewa sana au vipi.
Wenzangu tusiopenda presha.
Leo Mzee wa kuinamisha uwanja, mbinafsi wa kutoa ushirikiano ktk coroner.
man city fc EPL yuko ground
1.Ushindi wa corner mwanzo mwisho kwa city
(HT/FT)
2. Pia ushindi wa faulo nyingi kwa burnely
3. Pia double chance ya ushndi wa yellow card kwa burnely.
Hajawahi niangusha guardiola ktk hii option
Nb:
epuka kubet direct 3way win ktk mzunguko huh wa pili wa ligi ya EPL
KIZURI NI KULA NA NDUGUYO
Aise voda wamezingua, nimeweka pesa nasema nitafute ya lunch, kilichonikuta,.lleo nitakuwa mpenzi mtazamaji, walichonifanyia voda nimeishia kuchambua Tim tu
Najilaumu ningesoma comment kabla ya kudeposit yasingenikuta nilijua kama kawaida iko fresh kumbe leo voda network yao ovyo.lleo nitakuwa mpenzi mtazamaji, walichonifanyia voda nimeishia kuchambua Tim tu
Mkuu umepotea sana, msimu huu unajitokeza mara moja moja mno na unajitokeza na kokoro tu.
Karibu sana
Mkuu namba ya Mlipa please
Msaada jinsi ya kudeposit 1Xbet kwa tigopesa
Jamani nimefatilia hii option huko 1xbet ,1minute events
Mfano throw in 2.00-2.59
Ukaweka NO
naona kama uwezekano ni mkubwa sana wa kushinda
Odds zao 1.7,1.83 nk.
Nimeweka timu 12 imeleta odds 591
Maoni yenu wakuu , kuna aliewahi jaribu hii option,
Kesho ntawapa mrejesho waa jaribio langu
View attachment 689638
ni rahisi na ningumu pia. maana throwin huwa zinakuwa nyingi hapana mfano labda uende na bahat mkuu
Itabd ukomae nacho hvo hvo
Maana nchi unywe hii haielewek
Niko safar mkuu,
Mombasa bay, Kenya.
Almost wiki 2 sahv Niko uku,
kuna mizigo yangu nimeship kupitia hii bandari ya mombasa.
Kwahyo mda mwng nakua bize kwny mzunguko ya hapa na pale kushughurkia mambo ya clearance,ushuru, migration n.k hapa bandarini.
Sijapata tu wasaa wa kutulia vizur km Sikh za nyuma.
Pesa hii dar[emoji24] [emoji24]
Ngoja niifanyie mambo kabla haijaishiwa chaji
naomba jina lahii app mkuu ya kuangalizia matokeoHii option ya 5 mins no goal imeisha nishinda tabia aiser.
Wakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.kuna mdau hapo juu amesema kuwa amefanikiwa kudepost kwa kuwatumia e lipa, napo nimejaribu pia nimeingia kingi hela haijaingia wala SMS sijaletewa. yaani hapa kichwa kinavuruga kazi zimegoma kbx bora nikalale
Wakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.
1.kama unahitaji kuweka pesa vizia saa 6 usiku na kuendelea utaweka pesa vzr tu au utatoa vzr tu bila tatizo.
3.kale ka option ka Lucky muhindi amekaficha sana ilitusikaone lakini baada ya kutonywa na mkali mmoja basi muhindi aanze kuandika maumivu