Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaha "shithole" ... Trump huyu, daaah !

Wakuu mbona wadau tumesema toka asbh kuwa m-pesa iko na shida leo. Tutumie Tigopesa ama Airtel money.
Mkuu nimetumia tigo kwa push up sms nikalipa lakini nusu saa sasa kitu hakijarefrect japo sms zimeshakuja muamala umefanikiwa

Au bado sijamaliza process?? Maana nililipa kwa dusu mpaka utume tena zile namba za muamala ili kitu kisome
 
Duuh sijajua hapo shida iko wapi. Si ulilipia baada ya kupata "USSD Push message"?
 
Mkuu tatizo hapo kwenye reference number sijaona pa kuiweka kwenye menu ya voda
 
Yeah baada ya kupata ndo nikalipa kwa kutumia maelezo ya sms ... But nikajiuliza utofauti wa sms niliyotumiwa na atakayotumiwa mwingine in upi, ni reference namba au?
Cc Buddy
 
Mkuu tuambie hiyo lucky ameificha wapi
 
Mkuu tatizo hapo kwenye reference number sijaona pa kuiweka kwenye menu ya voda
Reference number n account number
Voda watakuitisha Ac number ambayo
Ndo hyo reference number

Kama cjakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…