Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha ...km mm jana Sergio Ramos alichonifanyia. Nlieeka goli la kwanza lipatikane kwa kicking, jamaa si akajitwisha bana ... daah !
Aiseee yan kweli hakuna
Option rahis mm nliwapa Hawa
Barca na mwinzie wafunge gol
Kwa mguu iwe first,2nd,3rnd

Lkn chaajabu jamaa wote
wamejitwisha ***** haa haa hvo vichwa
Cjui n mawe ama
 
Huku ulipokimbilia wise, umetuacha kwenye mataa na slots.
Mkuu huku slot zinakua nzuri zaidi maana game 2tu unapata Odds 2. Sema sidhani kama salama kuicha pesa nyingi maana jamaa nasikia hawana Ofsi bongo
 
Mameee Victor Wanyama ameshachana .... daaah, hii kazi ni ngumu aiseee. Huwezi amini, hakuna option rahisi .
mkuu pekua kuna ka option kengine kanaitwa substitution in first half unaweka no nliwah kukutana nako mara moja sijui hata nitakapataje kana kuwa na odd kama ya 1.4 na kushuka chini nikapita nako.

naon kidogo kanafaa
 
Mameee Victor Wanyama ameshachana .... daaah, hii kazi ni ngumu aiseee. Huwezi amini, hakuna option rahisi .
Haa haaa haa dhaaa imebid
Nicheke tu kweli kanji co
Wa kispotsport
 
Aiseee yan kweli hakuna
Option rahis mm nliwapa Hawa
Barca na mwinzie wafunge gol
Kwa mguu iwe first,2nd,3rnd

Lkn chaajabu jamaa wote
wamejitwisha ***** haa haa hvo vichwa
Cjui n mawe ama
Mkuu hizo game kwa iyo option nilizikimbia nilijua fika Barca na Real wakiwa ugenini hawatapata nafasi ya kujitanua na kufunga free, ivyo ingeweza tokea defenders haswa Ramos (Real) na Pique (Barca) wangeweza kupanda kutafuta magoli, na ukiona hao watu ogopa kusema lazima first goal iwe ya kicking.

Kuna hawa pia
Man U --- akiwepo Lukaku
Palace ---Benteke
Juve---Madzukic
Chelsea---Morata
Na wengineoo

Leo nimejilipua na Napoli ingawa najua Higuain anaweza haribu sherehe akafunga kwa kichwa
 
mkuu pekua kuna ka option kengine kanaitwa substitution in first half unaweka no nliwah kukutana nako mara moja sijui hata nitakapataje kana kuwa na odd kama ya 1.4 na kushuka chini nikapita nako.

naon kidogo kanafaa


Nliiona hiyo option pia ... hadi option ya " Medical Team kuingia uwanjani Over/Under 2.5"

Yani 1xbet wana options balaa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…