Nliiona hiyo option pia ... hadi option ya " Medical Team kuingia uwanjani Over/Under 2.5"
Yani 1xbet wana options balaa ...
Inabid nii download iyo appMm natumia simu (1xbet app), inakuwa rahisi zaidi kuziona. Kwa laptop, naona ni shida kdg kusearch hizo options ...
Machief, kama mnavyoshuhudia, matokeo ya kiQUMER bado yanaendelea. Hii ni wiki ya KISHETANI sijapata kuona tangu nianze kubet. Mnashauri nn kifanyike ili kukabiliana na JANGA hili?
Inabid nii download iyo app
Sio wewe tu mkuu. Hii ni wiki ya kiQUMER na kiSHETANI kwa kila mtu.leo siku mbaya sana kwamgu toka nimeanza kubet
Buddy tuma hapa app ya hiyo maana mm nna browser tu inasumbua kuona baadhi ya optionMm natumia simu (1xbet app), inakuwa rahisi zaidi kuziona. Kwa laptop, naona ni shida kdg kusearch hizo options ...
Pole sana mkuuKweli hi kaz n ngumu
Unaomba kicking
Unapewa heard
Kwa leo cku n mbaya sana dhaaa
Thanks mkuuu Ila hatukomiPole sana mkuu
Mkuu yaani mhind alinpigaga 150k ya fasta fasta sina ham nae, saiz nabet kwa 2000Tshs kwanza namvutia kasi aisee ntampatia tu siku moja.Thanks mkuuu Ila hatukomi
Na huyu kanji
Aiseee hapo alikaanga hatar mkuuMkuu yaani mhind alinpigaga 150k ya fasta fasta sina ham nae, saiz nabet kwa 2000Tshs kwanza namvutia kasi aisee ntampatia tu siku moja.
Wareno nao very stupid yan