1xbet kuwithdraw ni rahisi saana. Sema ukiwa na bonus walokupa huwezi toa hadi uliwe bonus yote au uwin kama wanavyotakaKabsa mkuuu shda yao n Ku withdraw
N stress me mpaka now cjadanikiwa
Cjui wanataka ujaze really I'd
Ama nn
1xbet kuwithdraw ni rahisi saana. Sema ukiwa na bonus walokupa huwezi toa hadi uliwe bonus yote au uwin kama wanavyotaka
Unatumia simu au computer?sorry Mkuu, hivi unawezaje kuangalia km una bonus ama lah? maana toka nimejiunga nao nimeshadeposit 169,000TZS lkn sijawahi kupata/kuona bonus yao.
Unatumia simu au computer?
Hivi hao jamaaa wanaweza wafikia princessbetHawa jamaa wana options tamu sn ... yani uwezekano wa kula ni mkubwa zaidi.
Hivi hao jamaaa wanaweza wafikia princessbet
Princess bado mtoto ambaye anatambaa bdo hajaanza kusimama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi hao jamaaa wanaweza wafikia princessbet
Eb tufamihamishane mkuu, sjawah itumia ila m huwa naona Princess na meridianbet wana options nyingDuuh, mi nlifikiri utauliza km Princessbet wataweza kuwafikia 1xbet.
Mkuu we huwa unatumia wapa, maana m princess n mara chache sana na kosa kula kwa siku, kwa sababu ya options zao af kuwithdraw ndan dk chache tuPrincess bado mtoto ambaye anatambaa bdo hajaanza kusimama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi 1×bet haijawah nisumbua kwa sasa kwenye kuweka pesa na kutoa pesa alaf option za hatari.Mkuu we huwa unatumia wapa, maana m princess n mara chache sana na kosa kula kwa siku, kwa sababu ya options zao af kuwithdraw ndan dk chache tu
Eb tufamihamishane mkuu, sjawah itumia ila m huwa naona Princess na meridianbet wana options nying
Fuatisha hapo nilipozungushia. Mwishini utaona option ya main akaunti. Bonus ya kawaida na mwisho ni bonus ya 1xgames.Natumia simu ... lkn hata kwny computer naweza kulogin. Ila mara nyingi natumia simu
mkuu mi nimewithidroo pesa leo tangu saa 12asubuhi kwa mpesa hadi mida hii pesa aijafika.sijui shida nn?Mi 1×bet haijawah nisumbua kwa sasa kwenye kuweka pesa na kutoa pesa alaf option za hatari.
Mbna mi nimetoa pesa kupitia 1xbet hata 5minutes hazijaisha kitu kikasoma au wananiogopa siku hizi maan niliwahi deposit pesa mwanzoni mpak leo haikuingia na niliwasumbua sana lakini wapi but kuanzia hapo kuweka na kutoa ni sawa na kumsukuma mlevi aiseeemkuu mi nimewithidroo pesa leo tangu saa 12asubuhi kwa mpesa hadi mida hii pesa aijafika.sijui shida nn?
Hii option ya brace inamaana gani?Basi ukijiunga nao ndo utaweza kucompare kwa urahisi ...
1xbet wana options nyingi ambazo siwezi kuziandika zote ... hizi ni baadhi ...
i. Headed Goal - Yes/No - yani kama kutakuwa na goli la kufungwa kwa kichwa au lah
ii. Goal directly from free kick - Yes/No
iii. Substitute Player to Score - Yes/No
iv. Hat-trick - Yes/No
v. Brace - Yes/No
vi. Throw-In before Foul - Yes/No
vii. Goal before substitution - Yes/No
viii. Yellow card before substitution - Yes/No
etc etc ....
Hizo option ukiziona kwingine nifahamishe mkuu.
Fuatisha hapo nilipozungushia. Mwishini utaona option ya main akaunti. Bonus ya kawaida na mwisho ni bonus ya 1xgames. View attachment 690798View attachment 690800View attachment 690802View attachment 690803
mi aijaingia bado na sijui nawasiliana nao vip?msaada pleaseMbna mi nimetoa pesa kupitia 1xbet hata 5minutes hazijaisha kitu kikasoma au wananiogopa siku hizi maan niliwahi deposit pesa mwanzoni mpak leo haikuingia na niliwasumbua sana lakini wapi but kuanzia hapo kuweka na kutoa ni sawa na kumsukuma mlevi aiseee
Jaribu kuchati nao live aiseeemi aijaingia bado na sijui nawasiliana nao vip?msaada please
Hii option ya brace inamaana gani?