Dhuuuuu bhas na mm ngojaItakuwa ndio ivyo maana mi nikitoa pesa hapohapo inaingia maana niliweka jina la kweli.
Ulifanyaje mkuu mm niliwasiliana na mlipa wakasema nisubir lkn mpaka sasa bado hawajaingiza wakat msg ya voda ishafikayaah me hela iliingia elfu30
Egypt league
Misra el draw ft
twendeni na option ya mwisho hyo kabisa kwa odds 3.4 tumjaribu hapo leo
Goal ranges 1-6
card ranges 1-6
corner ranges 7-15
katika kila mechi
Mi nilijaza vyote hivyoDhuuuuu bhas na mm ngoja
Nichanger maana mm
Nlituma tu number na nkawa registered
Hapo hapo so cjajaza chochote
Kama inavoonekana hapo
Walikuitisha national identity cardMi nilijaza vyote hivyo
kwa kuongezea asitume kiwango tofauti na alichojaza, hakitasoma kwenye akaunti yakeHii ni message ambayo utumwa katika namba yako ya simu uliyoiandika kua unatumiaku deposit muda ule ume click deposit, message hii ukuruhusu wewe kufanya taratibu za malipo kwa mtandao unaoutumia eg. Voda, Tigo nk
Message hii uandikwa procedure za malipo ya bill za kampuni simu unayotumia pia vitu hivi muhimu
1. Namba ya kampuni ya 1xbet ambayo ni 400700
2. Kumbukumbu namba ambayo ni 0081bet
Ukisha click kule ktk ku deposit usifanye malipo yoyote kabla ujapokea hii msg ktk namba uliyoiandika kua unaenda kutumia ku deposit
Dah mbona mi kama sikupaona vile?Walikuitisha national identity card
Af hapo patronymic unajaza nn
Me nilijisajil kwa sms maana kulikuwa na option ya sms au email. Sikujaza jina wala nin nilituma tu namba ya simu wakanitumia acc number na passwordKwenye kujisajili ww ukijaza realy
Majina kamili
Wanasema ni mtandao binafsi nipo kwenye denial moyo wangu unauma me princessbet ndio namwelea.....Princess wanaboa sana. Wameondoa option ya corners na pia kwenye basketball wameondoa totals kwa kila quater. Tusaidiane kampuni nzuri kwa inplay inayotoa option ya jumla ya vikapu kwa kila robo
Hata mm nlifanya kama wwMe nilijisajil kwa sms maana kulikuwa na option ya sms au email. Sikujaza jina wala nin nilituma tu namba ya simu wakanitumia acc number na password
Wrongly posted