Basketball ngoja nihamie huku maan kwa football nimechezea makofi ya kufa mtu litimu unalipa over 1.5 linakata mauno mwanzo mwisho linatoa under 1.5 jichanganye siku moja lipe under sasa utanena kwa lugha
Miami win
Denver win
Muitaliano Conte km kawaida yao wazee wa mikeka atakua anasubir tu ela yake kwa muhindiDuuuuuh JAMANI NAIPENDAAAA CHELSEA YANGUU SIOLWA VIPIGOOHIVI VYA 3 KILA MECHI CONTE NENDA TU NDUGU UFIKESALAMÀ
Mkuu Ufaransa league 2 na Ureno ligi kuu yao plus Israel ni ligi ambazo nimesema sitakuja kucheza Option ya magoli wala direct WIN.....Uyu Reimes alikua hajawahi poteza game 8 mfululizo juzi kati alipoteza kwa kibonde wa ligiSina hamu na Reims mamaeeee ... hata goli moja hakuna, daaah
Leo Reims alipewa odds 3+ kwny direct winMkuu Ufaransa league 2 na Ureno ligi kuu yao plus Israel ni ligi ambazo nimesema sitakuja kucheza Option ya magoli wala direct WIN.....Uyu Reimes alikua hajawahi poteza game 8 mfululizo juzi kati alipoteza kwa kibonde wa ligi
Mkuu upo?Muitaliano Conte km kawaida yao wazee wa mikeka atakua anasubir tu ela yake kwa muhindi
Mkeka wake umeshatick
Mkuu huko sigusi direct win nmeisha acha saivi naingia huku 1mins events throw in 0-59 no odds 2. Mech ya chelsea nimempiga mhindi nimepga kama mbili hivi. Direct win na over dah!Dah,
Nipo ndugu
Chelsea bila shaka hajakuacha salama leo
Ni kweli mkuu,Mkuu Ufaransa league 2 na Ureno ligi kuu yao plus Israel ni ligi ambazo nimesema sitakuja kucheza Option ya magoli wala direct WIN.....Uyu Reimes alikua hajawahi poteza game 8 mfululizo juzi kati alipoteza kwa kibonde wa ligi
Pole snHakika inplay ingekua inakubali ku place bet mapema kanji angekoma leo.........Game ya Malaga wakati Malaga kapewa Odds 14 WIN na place bet inagoma after 2mins Malaga kascore na kashinda game dah
Dah,
Nipo ndugu
Chelsea bila shaka hajakuacha salama leo
Nigerians matapeli tu.Nimeonalist MOJA ya NO REDCARD KWA WANIGER NKAMWONA CHELSEA YUPO NW NAWAZA WALEJAMAA WANAJISIKIAJE NA YULE REFA
HT UND 1.5 ...[HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG]
NILIWASAHAU HUKU INFO ZILIBADILIKA NKAWAHI KWA GRP WAJIANDAE HT WIN WATTFORD AWAY FINISH NA DRW...