*PONGEZI*
Kabla ya yote napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisaa kwa wanafamilia woote humu ndani,.
2_ Mimi ni mgeni humu ndani ninakama mwezi1 na cku kazaa tu lakini nimejifunza vitu vingi Sana kuhusu betting.
3_ Mimi jinsia yangu ni ( KE ) nimeamua kuchagua kutafita pesa kwanjia ya kubet coz kwangu mm naona ninjia halali kwangu kuliko kujiuza ukizngatia na maisha jinsi yalivyo sasa hapa TZ ,jamani kakazangu ninamengi yakusema lakini kubwa napenda kuwashukuru kwa kupata App bora kabisa ya 1*bet ambayo imepelekea Leo kunilaza na futaha ya kuingiza elfu60 wakiti tangia huu mwaka uwingie cjawai kuila ktk betting zingine ,Nimeamua Ku delete App zoote ktk kisimu changu nimebaki na hii tu labda nitaongeza Meridian bet.
Nimefatilia mda mrefu humu watu wakilalamika kuhusu kushindwa kujiunga,deposit & withdraw lakini nimegundua ni uzembe wao tu mm nime download App Leo nime deposit Leo nime bet Leo nime deposit Leo bila shida yoyote kwakutumia namba yangu ya TIGO ,Kama nilivyosema apo mwanzo cna mengi kakazangu nimeona nitoe tu shukrani zangu za dhati kabisa kwenu ,naomba mnipokee ktk familia yenu na mtambue uwepo wangu .
Kama nimekosea mnisamee jamani mm binaadamu kamu binaadamu wengine.[emoji120]
[HASHTAG]#Mapambano[/HASHTAG] yaendeleee
[HASHTAG]#TusaidianeKumfilisiMhindi[/HASHTAG]
By Mrs özil
[HASHTAG]#Gunners4life[/HASHTAG][emoji120]