Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau habari zenu,hii 1×bet nimedepost ela toka jana pesa haijaingia kwenye account wanashida gani?
 
Nyie wanawake ndiyo tunao watafta
 
Ngoja nifanye kumuotea Mhindi
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-06-11-56-35-1.png
    16.7 KB · Views: 52
kwenye accont nabonyeza deposite kisha mtandao ninaotumia then naingiza kiasi ninachotaka kudeposite kisha nasubmit. nasubuli kutumiwa push sms kwenye simu yangu. sms ukishatumiwa fuata maelekezo ya sms {muhimu hakikisha kiasi ulichorequest kwenye account yako ndicho unachoweka wakati wa kutuma pesa. vinginevyo itakula kwako.}
 
ismailhango
 
Hapo sasa kwenye kiasi nadhan ndipo nilipokosea niliweka kiasi kikubwa zaid ya nilichorequest
 
itakua umekosea me mbona ni sekunde tu yani sms ya tigopesa ikija kwangu na kwenye account ngoma ishasoma
Usimuhukumu![emoji134].Mambo huwa noma sometimes, 1XBET hatuko Salama always.

Mi mwenyewe hapa nina Hela nimeWithdraw tangu ijumaa haijafika hadi leo.

Huwezi amini mpaka hili jambo likukute[emoji134][emoji24]
 
Hapo sasa kwenye kiasi nadhan ndipo nilipokosea niliweka kiasi kikubwa zaid ya nilichorequest


Ni hivi ... unapofanya transaction kati ya 1xbet na mtandao wa simu, it's a two-way communication ... yani unachospecify kule wakati una-initiate deposit request ndio inatakiwa ukifanye kupitia simu ... na ndio maana unatumiwa sms ya Beyonic ambayo inaconfirm ulichokirequest na amount unayotakiwa ulipie kupitia simu. La sivyo hizo zinahesabika ni transactions mbili tofauti. Hii ipo hata kwa Premierbet ... ukispecify 5000/= then ukaja kulipia 10,000/= haiwezi kuingia ... ni vitu viwili tofauti. Just so you know.
 
Usimuhukumu![emoji134].Mambo huwa noma sometimes, 1XBET hatuko Salama always.

Mi mwenyewe hapa nina Hela nimeWithdraw tangu ijumaa haijafika hadi leo.

Huwezi amini mpaka hili jambo likukute[emoji134][emoji24]


Bado naamini kuna vitu mnakosea. Kama huyu mdau hapo juu ... alispecify anataka kuweka kiasi fulani, natumaini alipata ile USSD Push Message ambayo iliconfirm request yake na amount. Lkn yeye akalipia kiasi tofauti. Hapo lzm utasubiri sn hiyo hela kuingia kwny account ... coz umeshachanganya madesa.
Mimi nadeposit sana tu ... na sijapata issues zozote ukiacha ila mara ya kwanza kbs wkt nimejiunga nao nilideposit kabla hata sijapata USSD Push message (nahisi kulikuwa na shida ya mtandao siku hiyo).
 
Vipi k withdraw mkuu, kuna mzgo wangu jana nmemlamba ila bado sjataka kuotoa
 
huenda alikosea kuingiza namba wakati wa kuwithdraw huyu
 
Vipi k withdraw mkuu, kuna mzgo wangu jana nmemlamba ila bado sjataka kuotoa


Bado sija experience Withdraw. Lakini nimeshaona wadau wengi wameconfirm kuwithdraw successfully.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…