Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

E-lipa nazani wapo vzuri kuliko M-lipa kwanza hawana makato na before ujaenda fanya malipo m-pesa wanakupa namba ya company na namba ya kumbkumb so ukienda kudeposit kwa m-pesa msg ikirudi unatakiwa kurudi una click complete na ikitokea mtandao umezingua pesa inachelewa ingia lakin pesa haiwezi potea sababu ya kumb no.makato zero huku me naitumia vzuri tu
 
Yes, nliwatumia.
Sioni sehem ya kupate Statement ya Voda/M-pesa, nifanyaje?

Uliipataje hiyo Statement? Naomba maelezo Mkuu.

Kuna hela yangu niliWITHDRAW, Hajafika...wananiambia nitume SCREENSHOT YA M-PESA STATEMENT.
 
namba ya kumbukumbu unajaza nini?
 
Sioni sehem ya kupate Statement ya Voda/M-pesa, nifanyaje?

Uliipataje hiyo Statement? Naomba maelezo Mkuu.

Kuna hela yangu niliWITHDRAW, Hajafika...wananiambia nitume SCREENSHOT YA M-PESA STATEMENT.


Hapana mm issue yangu ilikuwa kwny Deposit sio Withdrawal.
 
Nimejarib elipa naona imekubal, ref no ni hiyo wanayokutumia na inaanza na herufi
ANGALIZO, kwenye hiyo page ulotumiwa chin kabisa kuna sehem wameandika COMPLETE. usibonyeze mpaka uwe ushatuma hela voda na wamerudisha msg ndio unanda kubonyeza COMPLETE hela inadoma kwa Account
 
Mm nimetoa hela saa 7 mchana. Kwenye account wameandika approved. Ila kweny m pesa haijasoma mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…