Pendelea kucheza single betVikapu 296 ... hawa vijana wa NBA G - League hataree sn ... nliwapa Over 233.5 kwa uwoga kumbe wamepiga vikapu 63 zaidi ... Lol !
However, hizi kazi zote nzr Besiktas ameziharibu, haina maana tena.
Ila baada ya masaa 24 inarudi Kwenye account. Kama una shida nayo ni tatizo sanaHapa ndo balaa la 1XBET, Ukiipata hiyo Omba Mungu sana.
Utaambiwa Screenshot M-pesa Statement ili waone kaka Tarehe hiyo Hela haikuingia! Yaaan Tafrani.
Mimi nadeposit bila matatizo... ila kwa beyonic... E lipa inazingua... Huwa najaribu hata mara tano ndio napata msg ya kulipia... Usifanye Muamala bila msg ya kulipiaToka jana najaribu kudeposit pesa 1×bet push mesej haiji kuna anae pata tatizo kama hili wadau
Ww unalipia kupitia nnMimi nadeposit bila matatizo... ila kwa beyonic... E lipa inazingua... Huwa najaribu hata mara tano ndio napata msg ya kulipia... Usifanye Muamala bila msg ya kulipia
VodacomWw unalipia kupitia nn
ina maana gani kutuonyesha?kama hukuleta kablaTupo kazini
Acha povu wewe, una uhakika sikuleta kabla ??hiyo ina maana ya motisha, kama kwako haina maana pita kushotoina maana gani kutuonyesha?kama hukuleta kabla
View attachment 691944
On a short commercial break!!
Vp wata fikisha vikapu 230 kwel hawa??
Nataka niwape under