Tumekuwa watu wa lawama kila leo naona wameamua kuziondoa payment system za kwa njia ya simu kwa tanzaniaWazee, Aliyefanikiwa kuWITHDRAW Hela leo 1XBET?
Mm toka jana. Nahangaika tuWazee, Aliyefanikiwa kuWITHDRAW Hela leo 1XBET?
Wamebakiza moja tu (M-pesa)Tumekuwa watu wa lawama kila leo naona wameamua kuziondoa payment system za kwa njia ya simu kwa tanzania
Mkuu Nataka kutembelea nyota yako nipe dili LeoWamebakiza moja tu (M-pesa)
Juzi na jana won..leo pia good luck
Duuuu sasa inakuaje apaWamebakiza moja tu (M-pesa)
M-Pesa tunayotumia waliyobakisha ni ya wakenyaWamebakiza moja tu (M-pesa)
[emoji15][emoji134] Sasa Hela zetu tutazitoaje!!??Tumekuwa watu wa lawama kila leo naona wameamua kuziondoa payment system za kwa njia ya simu kwa tanzania
Yaani[emoji134] , Sijui wana shida gani?Mm toka jana. Nahangaika tu
Umefanikiwa kutoa au?Wamebakiza moja tu (M-pesa)
Kupigwa miezi minne tena na princess! utakuwa unacheza timu 14 kwa jero.Ndugu zangu habari za mchana,mm nimechoka jamani kupigwa na mhindi anaetumia princes ambae angalau anamuotea Kanji awe anatupia kupitia princess angalau nipate kidogo jamani,nina takribani miezi minne sijawahi kupiga hata mia,jamani tusaidiane life is tight. Ntashukuru kwa ushirikiano na mungu awabariki sana
Sasa Tunaweza kuendelea kuitumia hiyo kutoa Hela!???M-Pesa tunayotumia waliyobakisha ni ya wakenya