Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu zangu Phills nilishawajumuisha na Cavs tatizo utamu wa odds alizopewa Detroit ulininogea nikawatoa ndugu zangu nikawachukua hawa wachawi
 
Princess wapo fresh?
Je, wana match za club maana mimi premier natumia VFL ya national league VFC huwa siipati.



Yes wako poa ... wana timu za EPL. Wanatoa sn 3+ ... juzi nilimbahatisha, nlianza na 20K nkafika 90K (faida 70K) ... nlipoona naanza kuliwa tu nikasepa. Ngoja nimjaribu saiv na 5K
 
Yes wako poa ... wana timu za EPL. Wanatoa sn 3+ ... juzi nilimbahatisha, nlianza na 20K nkafika 90K (faida 70K) ... nlipoona naanza kuliwa tu nikasepa. Ngoja nimjaribu saiv na 5K
Poa mkuu na mimi ngoja nije nikajaribu na huko
 
Yes wako poa ... wana timu za EPL. Wanatoa sn 3+ ... juzi nilimbahatisha, nlianza na 20K nkafika 90K (faida 70K) ... nlipoona naanza kuliwa tu nikasepa. Ngoja nimjaribu saiv na 5K
Mkuu naomba kujua utaratibu wa kusell mkeka na malipo yanakuwaje
 
Poa mkuu na mimi ngoja nije nikajaribu na huko



Karibu Chief ... hasa hasa mm naangalia timu zenye Lose "L" au Draw "D" nyingi akicheza na ambaye anaafadhari kdg ...

Mfano hapa, BUR (Burnley), SWA (Swansea), SOU (Southampton) au WAT (Watford) ... next games zao kuna possibility kubwa ya kutoa 3+ ... so nachagua moja ambayo inacheza na mbabe kdg wa muda huo. Odds mara nyingi zinakuwa kati ya 1.62 mpk 1.8 ...

 
Mkuu naomba kujua utaratibu wa kusell mkeka na malipo yanakuwaje


Huwa naona wanaandika ukisell out unapata sh ngp. Ukifungua hiyo bet slip yako utaona kuna sehemu imeandikwa Sell Out at <<amount>>
Ngoja nikiweka mkeka nitascreenshot nkuonyeshe.
 
Habari zenu wadau, VP hivi princess unaruhusiwa kubadilisha namba ya kumbukumbu ya malipo/namba ya simu?
 
Oooh sawa mkuu ngoja nije huko muda huu nipasome some kwanza
 
Huwa naona wanaandika ukisell out unapata sh ngp. Ukifungua hiyo bet slip yako utaona kuna sehemu imeandikwa Sell Out at <<amount>>
Ngoja nikiweka mkeka nitascreenshot nkuonyeshe.
Shukrank mkuu naona mademu wamenitunuku 3+
 
1. QPR under 1.5 goal in each half NO
2. Sturm Graz win or draw
3. Real Madrid over 8.5 kona
4. Hoffenheim win or draw
5. Borrusia under 1.5 goals each half NO
6. Bayern Munich under 1.5 goals each half NO
7. Manchester City over 8.5 kona
8. Tottenham Hotspur over 8.5 kona

TOTAL ODDS 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…