Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hmmm we Jamaa ume chaguaje Euro sasa!!??
Ndo maana Pesa zina potea wakat mwngne

Emb rud kweny A/C yako chek kweny setting kama una weza ku edit some info check kweny currency type weka
Tshs!!
 
Hmmm we Jamaa ume chaguaje Euro sasa!!??
Ndo maana Pesa zina potea wakat mwngne

Emb rud kweny A/C yako chek kweny setting kama una weza ku edit some info check kweny currency type weka
Tshs!!
mkuu ninahitaji account ya Euro ya TSH tayar ninayo unaweza kuwa na account nyingi uwezavyo wew tu
 
WANDUGU ANGALIENI HIYO BOTH TEAM TO SCORE NAHISI MUHINDI KAJICHANGANYA WALE WA M-BET FURSA HIYO
 

Attachments

  • Untitledgfyhgjghj.png
    12.8 KB · Views: 47
Jamaa sijui kapatwa na nini aisee
Iko playstore andika princess bet itakuja pale ..... then tukutane kesho or j4 kupiga pesa ya mhindi...
 
Hiv hiz option za home tm to win atleast half na home tm to win either hlf kuna tofaout au zpo sawa
Kama zipo tofauti yake itakuwa hivi:

Home team to win atleast half maana 'ake team ya nyumbani angalau ishinde kipindi cha kwanza ( first half)

Home team win either half means team ya nyumbani ishinde au iongoze kipindi cha kwanzàa au cha pili
 
OK MI NAHISI TU KA VIP ACHANA NAYO NILIKUWA NATOA TAARIFA TU
Hapana kaka nilikua nahitaji justification tu kuna unayo ila sio mbaya umetupa dokezo tuweze kuitazama kwa jicho la tatu....vp Leipzig unawazungumziaje leo kwa GG ndio ipo kwenye akili yangu hiyo
 
Anaejua Bonus kwenye Premierbet Inakaa sehemu gani kwenye acc anipe shulee bhasii... Maana nataka kuitumia nashindwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…