Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mpaka sasa nawadai wafuatao ushindi ili nimtandike Mhindi Rungu la kichwa;

> Fc Barcelona
> AFC flyde
 
Dah 1xbet ananidanganya sana Nilikuwa natengeneza pesa a Dagaa, kaja kununua tiketi yangu nikampa maana muda ulikuwa unayoyoma. Dakika 5 hazijapita mkeka unatiki tena hii ni mara ya pili.

Dah usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…