Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi mwenyewe nimeuona mechi zimeanza
Afu umetick
Sorry kwa kuuchelewesha, SAA ya ukutan ilkua inapoteza majira ilinidanganya ni mapema.

Nmekuja stuka dkk 30 kabla ya mechi kwa mlio wa notification ya line ups.

Am very sorry
 
Wanashindwa na 2+, mkuu
Yan leo nmelala makavu makavu na viatu
Pole sn

Kwangu barca wamenisaliti , wameshndwa kabisa kucheza offside 2+

Ila sio mbaya, kwa Leo

Nmelala na faida ya elfu 9,600 ya balimi 3 na kitimoto nusu kesho asbuh.

Mikek miwili tu nlibet
Mmoja wa 60k , ungeleta 126k UMECHANIKA

Mwingine wa 50k, ungeleta 119k UMETICK

TUNAMSHKURU MUNGU KWA YOTE.
 
Hisia zangu leo nilisita lakn nahisi ksh kuna hela nyingi mkuu nikiangalia kwa haraka haraka
Hela ipo uefa,

Always uefa huwa ni michuano ya pesa.

Few matches, few odds and Big stake.

Ni maumivu sn kwa muhindi
 
Hela ipo uefa,

Always uefa huwa ni michuano ya pesa.

Few matches, few odds and Big stake.

Ni maumivu sn kwa muhindi
sawa mkuu !mm nimejifunza sana kupitia ww!leo nimecheza mikeka minne mitatu imekubali mmoja umechanwa na roben ameingia sub first half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…