donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Pole deep pond naombeni mnifundishe kubet kwa 1xbet mbona sioni option za kona..Jana mhindi kala elfu 10 yangu na juzi kala 14000 baada ya Man city kuchana mkeka... naona Mhindi anataka kurudisha laki 2 niliyompuna last week.....nimeshajiunga 1xbet ila options zao za gemu zisielewi na baadhi sizioni...Msaada wapendwa.....dada yenu nimekuwa mpole kama piritonPole sn
Kwangu barca wamenisaliti , wameshndwa kabisa kucheza offside 2+
Ila sio mbaya, kwa Leo
Nmelala na faida ya elfu 9,600 ya balimi 3 na kitimoto nusu kesho asbuh.
Mikek miwili tu nlibet
Mmoja wa 60k , ungeleta 126k UMECHANIKA
Mwingine wa 50k, ungeleta 119k UMETICK
TUNAMSHKURU MUNGU KWA YOTE.
hiyo ni total amount of bet unakuta mkeka mmoja una 3000 mwingine 2000 kama jana nilikuwa na mikeka minne yote chali.....ahsante kwa ushauriTatzo wewe unabetia pesa kubwa mno alfu direct win jitahidi hata kwenye iyo m-bet ingia kwenye multiple bet uzipe team double chance alfu unaweka stake kubwa
Usijali tuko pamojaPole deep pond naombeni mnifundishe kubet kwa 1xbet mbona sioni option za kona..Jana mhindi kala elfu 10 yangu na juzi kala 14000 baada ya Man city kuchana mkeka... naona Mhindi anataka kurudisha laki 2 niliyompuna last week.....nimeshajiunga 1xbet ila options zao za gemu zisielewi na baadhi sizioni...Msaada wapendwa.....dada yenu nimekuwa mpole kama piriton
Ooh ahsante ngoja niende kuzitafutaUsijali tuko pamoja
Ukishaiona mechi husika una double click kwny hyo mechi.
Zitatokea option nyingi,
Option za corner na nyinginezo nyng znapatkana kwa kuscroll left and light.
Nakukunda Munguanakuona kutukimbiia janaOoh ahsante ngoja niende kuzitafuta
Nimesharegister na kudeposit hela....nataka kujua kucheza tu...esp hizo options ambazo nilikuwa sizioni..ngoja nikafamye mazoezi sitabet leo kule mpk nijue vzrMkuu huyu mdada ungemuelekea kuanzia kujiregister hadi kucheza umemuelezea kiume mno naomba umudadavulie zaidi
Hahahaaaa jana kazini nilibanwa na mhindi nae kabanaNakukunda Munguanakuona kutukimbiia jana
Hiyo kampuni ulotaja nikiisikia tu MTU anaitumia,Tatzo wewe unabetia pesa kubwa mno alfu direct win jitahidi hata kwenye iyo m-bet ingia kwenye multiple bet uzipe team double chance alfu unaweka stake kubwa
Ni nzuri kwa sisi tunaoanza japo haina option nyingi...mimi nimeanza kwa kuwapuna hela zao more than laki 2 kwa week kwa hiyo hiyo direct win and both team to score japo nataka kuadvance kufaham 1xbetHiyo kampuni ulotaja nikiisikia tu MTU anaitumia,
Najua tu
ndugu yangu uyo hatokua na furaha ktk maisha ya betting.
Kwani hajaregister bado?Mkuu huyu mdada ungemuelekea kuanzia kujiregister hadi kucheza umemuelezea kiume mno naomba umudadavulie zaidi
Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubetKwani hajaregister bado?
Mm nkajua registration keshamaliza
Pole twin wangu.....u will make itMhindi alichonifanya kuanzia jmosi.... j2...j3...j4 sina hamu yaani unakuta timu moja or mbili ndio zinaharibu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Download application yao. Ya simu.Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubet
Mkuu na wewe unabet sikuhizi?Safi sana.Nimesharegister....nimedouble click team zimekuja option nyingi...ila natumia simu inakuja kuscrow down and up hakuna left and right...na ukiscrow up inaficha option ya ile specific game kama double chance....usinichoke leo nafanyia mazoezi 1xbet nikiweza ndo nitaanza kubet
Nenda juu katikati kabisa utakuta pameandkwa "SPORTS"Nimesharegister na kudeposit hela....nataka kujua kucheza tu...esp hizo options ambazo nilikuwa sizioni..ngoja nikafamye mazoezi sitabet leo kule mpk nijue vzr
Nenda juu katikati kabisa utakuta pameandkwa "SPORTS"Nimesharegister na kudeposit hela....nataka kujua kucheza tu...esp hizo options ambazo nilikuwa sizioni..ngoja nikafamye mazoezi sitabet leo kule mpk nijue vzr
Nenda juu katikati kabisa utakuta pameandkwa "SPORTS"Nimesharegister na kudeposit hela....nataka kujua kucheza tu...esp hizo options ambazo nilikuwa sizioni..ngoja nikafamye mazoezi sitabet leo kule mpk nijue vzr