Bet lost mapambano yanaendeleaIn play
Japan
Shonan vs Nagasaki
Under 2.5 full time
Odds: 1.63
Nishawah kucheza hyo Money wheel, nkaona kamakuna utapel vile..Kuna waliowai kucheza izo?
Money wheel Jana nimecheza kwa mia3 mia tatu nikiwa na mtaji wa 1500 nikaondoka na 60.000 da sijui kama kuna mwingine mzuriNishawah kucheza hyo Money wheel, nkaona kamakuna utapel vile..
Yah n bahat,sema kinavozunguka hakiendi kwenye X kubwa, inaishia 2, na 3.Money wheel Jana nimecheza kwa mia3 mia tatu nikiwa na mtaji wa 1500 nikaondoka na 60.000 da sijui kama kuna mwingine mzuri
Tayar wamesawazisha kuleEast Bengal 0 - 0 Chennai City
try ht over 1.5 odds 3.6/ home win ht
East Bengal 2 - 0 Chennai CityEast Bengal 0 - 0 Chennai City
try ht over 1.5 odds 3.6/ home win ht
Wapi mkuuMkuu nakusubiri huku
2-0 kaweke ggTayar wamesawazisha kule
In playWapi mkuu
Niliogopa kuifuata hyo ya over 1.5 lakin hii ingine ipo poaEast Bengal 2 - 0 Chennai City
double won boooom
you may place gg
binafsi ni bora nichaniwe na odds 2+ but si 1.2Wakuu,
Polen sana mloanza na Bahat mbaya 1xbet
NINGEOMBA WOTE TUKUMBUSHANE MISINGI MKUU WA BETTING
"Epuka Tamaa"
Ila nadhan bado kuna tatzo kdg kwny style za betting
Ni muhimu sn kuishinda Tamaa ktk biashara yoyote
Tamaa ya kutaman kuitunisha account immediately on spot bado ni changmoto
Wengi wetu mnashindwa kuzithamin odd ngogo ndogo km 1.2 mpk 1.4 ktk in play
Ni changamoto kubwa sn kutaman pesa nyingi kwa haraka kupiyia inplay
Mfano: mtu kuplace bet ya kokoro LA mechi 5 kwny in play afu still unategemea upate green 75% ya bets ulizoweka.
Kingine ni watu kucheza option wasizokua na uelewa Nazo, hapa ni vema ukauliza km huna uhakika.
Kingine, ni watu kubet kwa mtindo wa"Kujilipua , liwalo na liwe"
Hii MTU anacheza option ngumu mno kutoka, pia unawz kuta ameweka zaidi ya 30% ya pesa I'll kwny account.
Honestly, hii sio Tabia nzuri.
Bet kustaarabu kwny option simple kutick na kwa stake ya kawaida.
***Nakaribisha maoni,ushauri hata povu ukiona inafaa****
Nawasilisha wakuu
First half?2-0 kaweke gg
umefanya kosa kubwa sana mkuu. yani hii niliamin 99%Niliogopa kuifuata hyo ya over 1.5 lakin hii ingine ipo poa
Dah mkuu hyo GSB juzi ulivopost kuwa system yao ya deposit imeshakaa poa si nikajitosa fast nkadeposit 10k kilichonikuta mpk leo nasumbuana nao siku ya 4 hawajanirudishia wananiambia tu kuwa system yao haikuwa imetengemaa bado wako kwenye maboresho lakini kunirudishia mpunga wangu wanapiga danadana tuMpaka sasa Kampuni za TZ zenye INPLAY nyingi na option rafiki ni PlayMaster & GSB