Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
pale kwenye other bets zipo options nyingi yu
Kumekucha kaka Steph Curry amka, tumebakiza Spurs W 1st Q tu mkeka wa kwanza ukamilike, mwingine bado Portland W Q1.
Mikeka yenu itimie mkuu.... Badae naingojea nione kama pasaka itakua njema kwangu.
Kumekucha kaka Steph Curry amka, tumebakiza Spurs W 1st Q tu mkeka wa kwanza ukamilike, mwingine bado Portland W Q1.
Boston anatuua hapa... Yani hii game sikuiangalia vizuri nilifikiri Boston anapita na Minnesota kumbe ni Bucks. Ngoja nilale tu
Nikichezaga nacheza Goal in both halves au GG pekee... na huwa nabahatisha nakula. sehemu pekee ninayoweka pesa kwa moyo mweupe na dau refu ni NBA
boston kaunguza pilau la pasaka nilimuweka kwenye mikeka yangu yote kwa win.ila leo pia ni siku.Aluta ContinuaBoston anatuua hapa... Yani hii game sikuiangalia vizuri nilifikiri Boston anapita na Minnesota kumbe ni Bucks. Ngoja nilale tu
Mpwa jana mimecheza kwa muhindi hafl time and full time, nakawapa watashida kipindi cha pili wale waliowekewa (+) kwa bahati baya wakatoka sare kipindi cha kwanza na cha pili. mpwa nitakuwa nimempinga au nimepigwa.
SUMVE nisaidie hapo.
cc. Sumve 2015
CC true rasta naomba uelewa wako kuhusu hili.
Unamaanisha handicap kipindi cha pili? kama ni hivyo na wakatoka draw bas umempiga maana yule aliyekuwa kwenye nafasi ya kupoteza kakaza na hivyo anaongezewa goli moja anakuwa mshindi.
Bolton vs blackpool 1 win
man u win
Salzburg win
arsenal gg
Vipi hapa wachambuzi
Subiri nifate mzingo wangu nitaleta feedback.
Mamaaaaaaaa....nani aliyetuloga aisee? nlijua 1st Q ndo maana nikasherehekea...hahaha sina hamu.
boston kaunguza pilau la pasaka nilimuweka kwenye mikeka yangu yote kwa win.ila leo pia ni siku.Aluta Continua
Aisee hii game imeniuma sana, nina hakika muhindi kanifanyia uchawi hapa baada ya kuona wiki mbili hizi namuua kula siku. Haya majina Milwaukee na Minnesota niliyachanganya baada ya kujua anacheza na Milwaukee ambaye yuko juu yake kwenye league nikajua anakipiga na Minnesota ambaye ni wa mwisho kwenye ligi. Ndio maana nilikuwa na kiburi cha kuweka Full Time atashinda. Poleni sana kwa hili, yaani nilimwacha Orlando Magic mwenye point mbele nikawapa hao mazuzu