Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


nimeuona kaka hapa nasubiri watoto walale tupate net sasa ila atlanta first quater atafika leo?ngoja na tuone
 
Last edited by a moderator:
Sumve 2015 nisaidie hapa kuweka hizi options za ku win first quarter na 50+ first quarter
 
Last edited by a moderator:
Sumve 2015 nisaidie hapa kuweka hizi options za ku win first quarter na 50+ first quarter

Kila siku kitu hikihiki jamani mtaelewa lini? Bonyeza mechi husika ikifunguka utaona machaguo mengi....angalia upande wa mwisho huku ukishuka chini utaona 50.5 basi katika mstali huohuo bonyeza over.
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye screen shot ya kwanza, Points 1Qtr unabonyeza kitufe chenye alama > ndo inamaanisha over.

Na hiyo screen shot ya pili, Result 1 Qrt ndo inamaanisha nani atashinda 1st Q so unabonyeza unayempa ushindi hapo kwenye majina.
 
Kila siku kitu hikihiki jamani mtaelewa lini? Bonyeza mechi husika ikifunguka utaona machaguo mengi....angalia upande wa mwisho huku ukishuka chini utaona 50.5 basi katika mstali huohuo bonyeza over.
Nashukuru mkuu basket ndio naanza leo, AAksate sana.
 
GSW pia hatashinda hii game!

Mi zangu ni 2 tu,

1. Dallas vs GSW: Dallas win
2. Atlanta vs Nets: Under 207

Hahahaa...nishautupia na huo ili kujihami incase ule ukichanika huu urejeshe mtaji.

Nilikuwa sijakuona nikajua huenda umepatwa na tatizo kaka.
 
 
 
hii mechi ya dallas ni ngumu sana hata wachambuzi nao wanamawazo tofauti tofauti ila wacha iwe hivyo hivyo
 
Thanks muhindi kapika ya pasaka sasa nimebet kwa m bet je watanitumia moja kwa moja au wataweka kwenye profile then n niitoe?sikumeka hela kwa profile nililipa direct toka mpesa
 
Thanks muhindi kapika ya pasaka sasa nimebet kwa m bet je watanitumia moja kwa moja au wataweka kwenye profile then n niitoe?sikumeka hela kwa profile nililipa direct toka mpesa

Watakutumia moja kwa moja hao hawanaga mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…