Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kikubwa tumuombe mungu tu mambo yatiki, kamali upepo kama upepo wake ukiendelea hiv tutafaidika..

Hawezi akawapiga siki zote kuna kipindi lazima akutane na maswahibu kama alivyokuwa anapigika huko princess bet, Ila si unajua mtumainia cha ndugu hufa masikini[emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tujiandae
 
STARTING THE NEW DAY. ....

Inplay

India I lig

Gokulam vs Mohun

Over 1.5 goals full time

Odds: 1.42
 
poa jomba ngoja nicheki lkn page zipo kibao kaka
Poa poa.... Mfano basi mtaji 10,000
Ukaanza jumatatu (day 1)unatafuta odds 1.5 * 10,000 =15,000
Day 2 = 15,000 *1.5 = 22,55
Day 3 = 22,500 *1.5 = 33,750
Day 4 = 33,750*1.5 = 50,625
Day 5 = 50,625 *1.5= 75,937
Day 6 = 75,937*1.5=113,906
Day 7= 113,906*1.5 = 170,859

Usiwe na mitamaa.... Unaweza kufanya mizunguko miwili hata mitatu kwa siku ukatulia ... Ndani ya siku mbili unakuwa umeshapiga mizunguko saba ... La msingi ni kutafuta mechi moja au mbili zitakazokupa odds ya 1.5 au zaidi...
 
Muhidi chenga wakati mwingine anabeba mpaka odd 1.2[emoji23] [emoji23]

Wazo zuri.
 
Ndio hivyo mhindi anapiga sana chenga za mwili ..
Kama andunje messi vile, kuna siku amenipiga chenga ya mwili kama alichofanywa boateng, nishamuona kaingia kwenye target m3 kasoro hatua kadhaa odd ya 1.4 ikachana wakati odd ngumu zote zilitiki[emoji23] [emoji23] . Nikalala na kulala.
 
Kama andunje messi vile, kuna siku amenipiga chenga ya mwili kama alichofanywa boateng, nishamuona kaingia kwenye target m3 kasoro hatua kadhaa odd ya 1.4 ikachana wakati odd ngumu zote zilitiki[emoji23] [emoji23] . Nikalala na kulala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…