Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamaa wa Porto ilee Mil mimi nimelala Naiotaa... Sasa yeye sijui itakuwaje[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] afuu mechi ya PAOK japo imeaihirishwa lakini mpunga wajawekaa jamaa hawaa...
 
Mm waliweka nmewithdraw usiku mpaka sasa bdo hela haijaingia.
Nawapigia simu Mlipa hawapokei simu,natuma attachment wozapu hawajibu watu wa ajabu kweli hawa.
 
Hawa Princess wameshtuka nataka kuwahama nini tangu jana nime withdraw balance yangu yote haijafika tigopesa na si kawaida yao.
Nahamia mazima 1xbet mazima kwenye utajiri wa bure
 
Kanji weekend hii nimemla sana acha apumzike ila hii mikeka miwili kidogo inauma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! PORTO Fala sana......
 
Hawa Princess wameshtuka nataka kuwahama nini tangu jana nime withdraw balance yangu yote haijafika tigopesa na si kawaida yao.
Nahamia mazima 1xbet mazima kwenye utajiri wa bure
Hata 1xbet nao wanasumbua kulipa,nmewithdraw mpaka sa hizi hakuna salio,nmewasiliana na watoa huduma wao wananijibu majibu hta siyaelewi
 
Mbona kwangu hawajawahi kusumbua kabisa kutoa ama kuweka hela? Nikitoa dakika 15 ishafika
 
jaman mpaka sasa hiv nimeshahama hama karibia betting center zote...nimeamua nirudi kwa muhindi lakin bado nachezea za uso...hii michezo ya kubet nyuma ya pazia kuna mengi sana tusio yajua...tunachezewa akili kabisa...naacha rasmi
 
Safari njema!!!

Aluta continua
 
jaman mpaka sasa hiv nimeshahama hama karibia betting center zote...nimeamua nirudi kwa muhindi lakin bado nachezea za uso...hii michezo ya kubet nyuma ya pazia kuna mengi sana tusio yajua...tunachezewa akili kabisa...naacha rasmi
kuhama kaqmpuni sio suluhisho sana kama hujagundua why unapoteza dailee. but kampuni pia inaweza kuwa kigezo cha kuliwa kama inakubana hasa upande wa uption rahisi kwa mtumiaji
 
Jaman kuwen makin na 1xbet nimeanza kuwaogopa Jana account yangu imelala na 14000 na kuna bet za mchana 2 zilikua na 11000 lakin mpaka usku zilikua azijalipwa na zote zilikua won,chakushangaa asbh nmefungua nakuta account inasoma 0 kibaya bet history zote zimefutwa kwenye account.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…