Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseee?!
 
Ya kweli haya? Unaweza leta ushaidi mkuu?
 
Mbona watu tunatumia vizuri tu na deposit na kuwithdraw bila waswas
 
1.Manchester city win over stoke city

2. Deportivo alvels win over Betis

3. Werder bremen win over FC koln

4. Cork city win over shamrock rovers
 
Mkuu,
Nikutoe wasiwasi

Hilo Ni swala LA kawaida, na wewe SIO wa kwanza.

Liliwahi nitokea, account ikafuta history zote, salio likasoma "nul"

Ila nliwaona technical team,

Walichosema
" Kwa sasa unashauriwa kutumia web, app yetu inacrush Mara kwa Mara kunapotokea muingiliano wa data kati ya App developer na App user"

"Tuwie radhi, App yetu kwa sasa bado iko ktk development stage, ikikamilika ipasavyo hizi hitilafu hazitojitokeza tena"

Ushauri:
Mkuu,Tumia web kwa usalama zaid wa kazi zako

Kuhusu kuchelewa,
Nadhan tatizo pia linaweza kua bado Ni app, Maana mda unaosema wewe ulitoa pesa.

SAA 1 kabla nilitoa pesa pia na haijanisumbua.

Au km ni tatizo LA kimtandao, mda wowote pesa ako utarudishiwa.

JUST RELAX NA UENDELEE NA KAZI, PESA AKO IPO MKUU.
 
kwanini mnapata shida hivyo, tulieni na international bet site, meridianbet,premierbet na mbet,hizi zingine uchuro tu
 
Nimezunguka huko kooote! Best betting site ni Princess wako fair wana matatizo kidogo sana! Hao 1XBet wana hela yangu tokea tarehe 1 hawajanipa wanasema niache kuwatumia email kwani wanalifanyia kazi swala langu! Upuuzi tuu wapumbavu sana
 
Hehe nina mashaka na haya malalamiko kuhusu 1XBET. Mbona yote yanakuja kwa pamoja? kama mipango vile.

NB: ni wasiwasi tu inaweza is uwe hivyo pia [emoji1531]
 
Nimezunguka huko kooote! Best betting site ni Princess wako fair wana matatizo kidogo sana! Hao 1XBet wana hela yangu tokea tarehe 1 hawajanipa wanasema niache kuwatumia email kwani wanalifanyia kazi swala langu! Upuuzi tuu wapumbavu sana
Sh ngapi mzeee????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…