Wapigwe tuu
Senior Member
- Jan 31, 2015
- 173
- 224
Man Utd 1
Wolves 1
Aston Villa 1
Shefield UTd 1
Ashton UTD 1
Alloa Athletics 1
Shanghai Shenua 1
Weka elf 15-20! Bet responsibly [emoji6]
Timu 4 za mwanzo zitanifaa, Asante mdau.Man Utd 1
Wolves 1
Aston Villa 1
Shefield UTd 1
Ashton UTD 1X
Alloa Athletics 1
Shanghai Shenua 1
Weka elf 15-20! Bet responsibly [emoji6]
Wakuu hivi hapo mchawi wangu n nani mpaka hapo?View attachment 713130
Hao wachina huwa ni wakucheza magoli tu.Shanghai mpe 1x kupunguza risk
Mchawi wako ni M lipa uyo ndo kashikilia Pesa yakoWakuu hivi hapo mchawi wangu n nani mpaka hapo?View attachment 713130
Ndo maana nkasistiza magoliSiyo wachina kwa wachina! AFC hiyo ni mashindano ya Asia! Shenua yuko poa sana namjua sana sana ila kama ni ligi yao team ya kuaminika ni Guangzhou Ever Grade!!!
Ndo maana nkasistiza magoli
Hiyo suwon mkorea Naye ana pace sana
Anashambulia sana, hata kwny haya mashndano ya AFC amekua aktoa magoli mengi
Pia kwny ligi yao amekua akitoa goli nyingi.
Hii game "over 2.5" inatoka safi kabisa
Tena mapema sana
Game ya Man U hahitakuwa nyepesi Kama inavyofikiliwaNatafuta 50k, akili imeniambia hiyo hapo... Ushauri wakuu hapo.View attachment 713149
Hiyo ya Roma usitake presha mkuuNatafuta 50k, akili imeniambia hiyo hapo... Ushauri wakuu hapo.View attachment 713149
Mkuu,Haya ni mashindano makubwa ! Natoa Under 3.5 FT au 1.5 FH. na kama kuna option ya mfungaji nampa HULK ..... tusbiri embu tuone!
Kwel laki si pesa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Sevila Win......weka hata nyumba
Mkuu,
Haya mashindano miaka yote yana wastani mkubwa sana wa magoli.
Mfano:
Mwaka jana, AFC ilkua na wastani wa magoli 3.52 kwa kila mechi
AFC mwaka huu INA wastani wa magoli 3.18 kwa kila mechi.
Sasa hapo utakua hauko serious, kwa wastani huo halafu MTU uende ukacheze "under"
Kiambatabisho tizama chini
View attachment 713165
Kweli ila Spain huwa mandezi ndezi wakitua kwa Malkia. Balaa huwa linakuwaga kwao kule.Game ya Man U hahitakuwa nyepesi Kama inavyofikiliwa
Asante mkuu pond.. Nazingatia ushauri wako.Hiyo ya Roma usitake presha mkuu
Cheza corner tu apo
Hao wote shaktar&roma ni wadunguaji wazuri sana wa corner.
Hii game itakua na corner za kumwaga.
Hasa hasa first half
miezi sita wapi, wewe ndo unawachanganya hapo unawaandikia thread wanakwambia subiri wewe unaendelea tu kuandika. huoni kama unawachanya?View attachment 713167.
Endeleeni kuwaamini hao 1XBet siku unashida ya hela yako wakuambie subiri miezi 6!