Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

miezi sita wapi, wewe ndo unawachanganya hapo unawaandikia thread wanakwambia subiri wewe unaendelea tu kuandika. huoni kama unawachanya?

Najua kusoma kiingereza bro! Siku kumi zimepita so nisiwakumbushe hela yangu? Lini wewe ume withdraw hela au ukaweka hela unaambiwa subiri alaf zipite siku 10 usiwatumie msg ??? Akili zako bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 713167.
Endeleeni kuwaamini hao 1XBet siku unashida ya hela yako wakuambie subiri miezi 6!
Mkuu,
Mm nadhan wewe ndo umeshndwa tu kua mwelewa.

Washakwambia subir wanashughurkia

Kikubwa hakikisha umewapa ac No, Transaction history, Payment vendor&adress unaemtumia

So soon wanaweka pesa yako, ikishindikana.

Ndani tu ya 24hr, wanacancell huo muamala na pesa yako inarudi direct kwny main account.

Baada ya hapo, watakutumia mail kutoa feedback na kuomba mrejesho wako kwa walichokifanya kama kimefanikiwa au lah!

Hao ni technical team, SIO wababaishaji km wale customer care.

KUA NA AMANI, WEWE SIO WA KWANZA.

Ukiujua utamu wa hawa warusi, Hizo mambo ndogo ndogo hata hazikuumizi kichwa.

Ni kitendo cha kuchill na kuendelea kupiga tu pesa,

Ukiwashika vizur kwny kuzielewa&kucheza vzur na options, ukaanza kuwala pesa non-stop.

Honestly nakwambia mkuu,
Hizo ndogo ndogo utajikuta tu umesha wasamehe tu bure,

MKUU,
HIZO TATZO ZA PESA KUKWAMA ZIPO KAMPUNI ZOTE DUNIANI

SIDHANI KM KUNA KAMPUNI HATA MOJA YA BETTING HUTAKUMBANA NA HILI TATZO.

CHA MSINGI
Katika hii biashara yetu, ni kuzingatia kwamba KAMPUNI bora.

Ni ile inokutengezea mazingira bora ya kuongeza faida na kipato chako.

Hizi kasoro ndogo ndogo, Tunaita
"Funika kombe,Mwanaharamu...."

Nna imani kuna kitu umenielewa mkuu,

****Kwa faida ya wana uzi wote****
 
Bet bora TZ

Sportpesa
Premier bet
Meridian
Mbet

Sasa mnashupalia hayomengine ya nn km 1*bet
kwani umelazimishwa?ww baki huko walio 1xbet waache!!kwangu mm sioni kampuni inayozidi 1xbet kwa option
 
Najua kusoma kiingereza bro! Siku kumi zimepita so nisiwakumbushe hela yangu? Lini wewe ume withdraw hela au ukaweka hela unaambiwa subiri alaf zipite siku 10 usiwatumie msg ??? Akili zako bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
utakua ulikosea mahali mm nina miezi sita natoa na kuweka kila mara wala haijawahi kunisumbua!!
 
utakua ulikosea mahali mm nina miezi sita natoa na kuweka kila mara wala haijawahi kunisumbua!!

Ningekosea wangeniambia! Hili tatizo liko kwao! Kuna mpuuzi anasema eti mimi nina wasumbua kuwakumbusha hela zangu! 40k siyo hela ndogo kwangu na kukaa na hela yangu zaidi ya siku kumi alaf huniambii kinacho endelea zaidi yakuniambia nisubiri ni upuuzi! Atleast waseme zitarudi ndani ya mwezi ili nisiwasumbue
 
Mi 1×bet wanazingua toka jana nimeweka hela haionekani,hivi zile hela za advancebet zinaendaga wapi jana nimebeti kwa kutumia hizo nimewin hela haijaingia au ndo nimewatibua duh,naombeni namba zao niwapigie
 
Nakuomba mkuu,

Just relax, endelea kupiga kazi

Hiyo ela ni akiba yako, Nakuhakishia huwez dhurumiwa.

Hii ni international Betting Company, Ina operate allover the world.

Hawawez kukutapeli mkuu,

Cha kufanya,
Kama ulkua na bajet Nayo sn iyo pesa, Tafuta alternative.

Weka pesa NA endelea kubet, kukaa na kuiwaza hiyo pesa iliyoko uko pending.

Hakutakuingizia pesa ingine.

Obviously, utajikuta unajirudisha tu mwnyw nyuma kimaendeleo.

NAKUOMBA,
KAZA ROHO NA ENDELEZA MAPAMBANO
 

Poa poa boss
 
sasa mbona unatukana watu!!ndio hekima yako yote
 
Mi 1×bet wanazingua toka jana nimeweka hela haionekani,hivi zile hela za advancebet zinaendaga wapi jana nimebeti kwa kutumia hizo nimewin hela haijaingia au ndo nimewatibua duh,naombeni namba zao niwapigie
Mkuu komaa na M-Lipa na watumie email 1xbet kwenda info@1xbet.com ukiambatanisha payment detail zako ( yaani miamala ya i.e Mpesa/Tigopesa au Airtel money) na National ID yako....namba ya simu uliyotumia kufanya muamala..., account namba ya 1xbet ....

Mimi leo niliweka pesa saa kumi na moja asubuhi...haikuingia...niliwatumia email 1xbet na nilikomaa na Mlipa...washenzi.
 
Football. AFC Champions League
Corners Melbourne Victory - Corners Kawasaki Frontale

Individual Total 2 Over (6.5)

INPLAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…