Mi mwenyewe kwa mara ya kwanza tangu nijiunge na 1xbet cjawahi kupata tatizo la kutoa au kuweka pesa ila kwa leo tangu nitoe saa saba mchana mpaka saa hii kitu hakijasoma nimechart nao jamaa wanasema imesha be proved so tatizo naona lipo kwa hawa mbwa M lipaDah namba zao za M-Lipa hawajakupa? Maana ni uhuni huu tunaweza kuwafungulia kesi
******BET WOOOOOON****
OK hawa m lipa wamebana pesa zetu kama vp tuwashtakiMi mwenyewe kwa mara ya kwanza tangu nijiunge na 1xbet cjawahi kupata tatizo la kutoa au kuweka pesa ila kwa leo tangu nitoe saa saba mchana mpaka saa hii kitu hakijasoma nimechart nao jamaa wanasema imesha be proved so tatizo naona lipo kwa hawa mbwa M lipa
Wapuuzi sana hawa jamaa aiseeOK hawa m lipa wamebana pesa zetu kama vp tuwashtaki
Bet wonInplay
Uefa
Besiktas vs Bayern
First half yellow card: over 0.5
Odds: 1.51
Bet Woon Mkuu nilikuta Ods 2.5Inplay
Uefa
Besiktas vs Bayern
First half yellow card: over 0.5
Odds: 1.51
Hongera sana,Bet Woon Mkuu nilikuta Ods 2.5
*****BET WOOOOOON******Inplay
Uefa
Besiktas vs Bayern
First half yellow card: over 0.5
Odds: 1.51
Kashinda na ametoa under 4.5 mkuu, mtaji wako uko salama.Hacha kusema ivo mwwnzio niko na mkeka wa toka jana bado mechi moja bayern anatakiwa ashinde ili mtaji wangu wa Xbet urudi
Haya malalamiko yasiyokwisha juu ya ubovu wa 1xbet yamenifanya nifikirie mara mbili kuwahama jumla.Hao M LIPA wapumbavu tu hawa hata mimi toka jumapili hawajaniwekea pesa yangu.
Watu wa 1xbet wananiambia pesa walishaitoa tayari lkn bado sijaipata hyo pesa mpaka sasa