Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Was.enge lausana sport na basel wameninyima pesa usiku huu.nna hasira mbaya ngoja nilale tu nsije nkaharib mazima,

N.b bado nacheza kwenye mtaji tuu,jana nilipata faida nzur ila leo nmeikwangua had imerud kwenye mtaji tena na faida ya buku1 maanina,nna hasira siwez cheza game za usiku leo ngoja nilale tu nianze upya kesho,...vitim vya ajab vya kiqumer sana..

Usikumwema wadau
 

Hahahahaha! Usijali Basel anashinda mkuu:
 
Haya malalamiko yasiyokwisha juu ya ubovu wa 1xbet yamenifanya nifikirie mara mbili kuwahama jumla.
Kila siku nadeposit na Kuwithdraw tena kwa Tsh. Na EURO sijawah cheleweshewa SMS kamwe au labda sijui wenzangu vp malalamiko kibao mi nadeposit sms ya Mpesa imezidiwa ufasta na Mlipa yan ni papo hapo Polen bac nyinyi wenyematatzo

Labda muwe makin na Push SMS na ukiwa natatzo usichat nao kwa App watumie email yan fasta jamaa ni maprofesional
 
mm pia nashangaa wanaolalamika mm naweka na kutoa bila tatizo tena natoa mitandao tofaut sijawahi kuona usumbufu wowote
 
Nataka kutengeneza pesa inplay game ya Chelsea, kuna matukio ambayo najua lazima yawepo.
 
mm pia nashangaa wanaolalamika mm naweka na kutoa bila tatizo tena natoa mitandao tofaut sijawahi kuona usumbufu wowote
Ngoja yawakute...ndio mtajua haya mambo yapo au....sisi tunayoyasema...tunakosea/hatupo makini
Kweli mtu anaweza kukosea kuwithdraw pesa...!!
Umakini gani unaohitajika...kwenye kuwithdraw pesa...may be kwenye kudeposit...waweza sema haya...
All in all haya matatizo yapo...especially kwa wanaofanya transaction through mobile payment...isipokuwa kwa Bank tu...
 
Mkuu ni kweli hii ishu hauwez amini mpaka ikukute, binafsi sikuwahi kusumbuliwa nikawa nawashangaa wadau. Kuna siku niliwithdraw 80K tu kilichotokea sishangai tena mtu kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…