chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,013
Nimefanya yote hayo kwa kuwatumia email wamenijibu wao wameapprove nilipwe wananiambia niwe na subira.Usiwatumie hizo screen shoot customer care....tuma email kwa technical team kupitia info@1xbet.com ukiambatanisha...screen shoot za payment detail, National ID, account number ya 1xbet, namba ya simu uliyotumia kufanya muamala...
Hao watakuwa M-Lipa...washenzi sana hao....namba zao hizi hapa...huwa hawajibu sms ila wakomalie wapigie ...kwakifupi wasumbue to infinity....Nimefanya yote hayo kwa kuwatumia email wamenijibu wao wameapprove nilipwe wananiambia niwe na subira.
Hapa sijui tatizo ni hao wenye kampuni au MLIPA?
Naomba aliyefanikiwa kuongea na watu wa MLIPA anipatie mawasiliano yao.
Hilo nalo nenoUEFA UEROPA LEAGUE
Both teams to score
All games
Jamaa wapuuzi kichizi, mwenye namba zao anigei na mimi nimetoa pesa tangu asubuhi kimyaaa...Hao M LIPA wapumbavu tu hawa hata mimi toka jumapili hawajaniwekea pesa yangu.
Watu wa 1xbet wananiambia pesa walishaitoa tayari lkn bado sijaipata hyo pesa mpaka sasa
BET WON
Twende kazimkuuBET WON
Vipi tena mbona unanishambuliaTushasema hatutak magroup ya whatsapp hum wati hawaskii..
Mbona mnapenda sana kujuana juana,hapa ni fake identities sasa whatsapp ili iweje?mbona hapa kila kitu kiko vzur sana au hamtak wagen waone mikeka,au nyiny ni watu msiojulikana mnataka mtufanye kitu mbaya?
Humu ni fake ID unapotaka group la whatsup unashindwa kusomeka kwani hapa unakosa nini km unahitaji sana group nenda fb huko utakutana na Magroup kibao utaweka namba na utaunganishwaVipi tena mbona unanishambulia
Nani sasa anataka groupHumu ni fake ID unapotaka group la whatsup unashindwa kusomeka kwani hapa unakosa nini km unahitaji sana group nenda fb huko utakutana na Magroup kibao utaweka namba na utaunganishwa
Ok sio kesi"'"mapambano yaendeleeNani sasa anataka group
Jamaa aliyeleta link ndio kazingua