Ya wapi hii Mkuu?INPLAY
Oakleigh v Eilderberg
Over 12.5 Corners
Odds 1.58
AustraliaYa wapi hii Mkuu?
[emoji106][emoji106][emoji106]Australia
BET WON
Barcelona kapata njia nyeupe kweli aiseeeDroo ya uefa robo fainali ishatoka
Barca vs Roma
Madrid vs Juve
Bayern vs sevilla
Man city vs Liverpool
Wewe acha tu mkuuBarcelona kapata njia nyeupe kweli aiseee
ilibidi apangwe na nani mkuuBarcelona kapata njia nyeupe kweli aiseee
Ng'ombe wa masikini....***** walai wachina wamekata umeme kwa kikapu kimojaHabari za asubuhi wadau?
Baada ya kuwa nje wa uwanja kwa majukumu ya kishule, nimerejea na ujio wangu ndiyo huu.
Odds 6.9
Stake: 20k
Return: 138kView attachment 716472
Hapana si kwa Barcelona hii Mkuu, hii wachezaji wake wengi wanamalizia ubora wao kina Iniesta, Busquet nk. Barca hii ukizuia Messi na Suarez tu kazi imeisha. Chelsea walikutwa wakati hawako vizuri si katika ligi wala ulaya, ila Chelsea alikua anamtoa kabisa BarcaBarca kwa sasa kila njia kwake ni nyeupe. Team hazpend kulisikia jina la Barcelona . ulitakiwa useme hiv Roma kafanyiwa umafia mzito sana
Nilitamani kuona akipangwa na team ambazo kwasasa ziko on fire si uyu Roma aliyefudhu kibahati bahati....Nilitamani kuona team kama Bayern, Real, Man City hata Liverpool. Roma wabovu sana hawataleta ushindani kwa Barcelonailibidi apangwe na nani mkuu
Napata changamoto kutumia jamii forum bado mgeniAsanteee lete mambo mkuuu unaokoa sana
Ng'ombe wa masikini....***** walai wachina wamekata umeme kwa kikapu kimoja
Sawa sawa mkuu ngoja tuendelee kupepesaKabisa mkuu! Nilicashout nilipoona wanamiss vikapu vingi! Nikaambulia 58k.
Mapambano yanaendelea!
Sawa sawa mkuu ngoja tuendelee kupepesa
Kiujumla hii droo ni ya kipuuz.Barcelona kapata njia nyeupe kweli aiseee
Naunga mkono hoja,Nilitamani kuona akipangwa na team ambazo kwasasa ziko on fire si uyu Roma aliyefudhu kibahati bahati....Nilitamani kuona team kama Bayern, Real, Man City hata Liverpool. Roma wabovu sana hawataleta ushindani kwa Barcelona