Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanamaliza mda wake but very technical kwenye difensive na wanacheza mpira wa Ki ushind zaid. Tofaut na barca ya zaman hii sasa ina compose sana presha.. I mean unaweza kuishambulia hata ten minutes na usipate goal. Yaan barca ya sasa ni wataalam Wa kupak bus plus world class player lazma akae mpinzan.
 
Austria tena ile ya kwanza tushakula
 

Attachments

  • Screenshot_2018-03-16-15-51-16-1.png
    3.5 KB · Views: 53
Sidhani kama unaitazamaga vizuri hii Barca, Barca ya sasa mpinzani unao uwezo wa kui contain, yani Mids zako zina uwezo kabisa wa kuikamata ktk kiungo na isicheze, hakuna kiungo wa maana mwenye uwezo kwasasa, Barca ya zamani ilikua haizuiliki yani wana ku contain wewe mwanzo mwsho unakua unatafuta mpira tu, Hii ya sasa unaweza kuishika na kuishambulia, juzi umakini tu uliwagharimu Chelsea ila kukamatwa Barca alishikwa vizur tu ktk kiungo.
 
1Xbet ukitaka uone options za corners,fouls,yellow card n,k unaingia wapi ktk mchezo uliopo in play
 
Mkuu usiongelee Chelsie . hata el classical ya kwanza kwa valverde ilikua hivyo na mech zake zote za msimu ndo style yao ya soka. Yaan ni wapak bus full japo mpira wanaucheza kidogo. VP mechi ya atletical Madrid uliiona..? So mindset yako unafkr barca ni wabovu kwa sababu wanacheza denfensive game..la hasha ila valverde kai transiform barca kutoka kwenye tik tak mpaka kwenye Ku pak bus.. Nafkr kwa sasa barca ndo team mbovu zaid kwenye kuuchezea mpira. Na man city & Liverpool ndo team znazocheza soka la pas nying na fup huku wakishambulia kwa speed. The least wanacheza mpira Wa kawaida lakn mpira jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…