Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwema humu?
Za Weekend??

Naombeni msaada wenu, kuna Jamaa fulani wa Kenya amekua akiniuzia odds kupitia App fulani ambayo siijui ni ipi.

Sasa nimewaza pengine hata ni App ya bure ye anafanya kuniuzia labda ningeweza tu ku download mwenyewe.

App yenyewe sio kama inatoa sana ila angalau hua wanajitahidi. Muonekano wake ni huu hapa chini. Kwa anaejua please msaada naombeni, nimechoka kutuma hela Kenya
 
Mi nakushauri Princess bet wako poa sanaa mi nd huws najilipuaaga hukuu payment fastaa tuu ila 1xbet sijawah jarbuu naonaa customercare yakoo hawaeleweki hata kiswahil hawajui sijui kampuni ya wapiii hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…