Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapendwa nauliza ni hatua gani zinatumika kubet kupitia mkeka bet? Mwenye kujua naomba msaada maana naingia mtandaoni nachagua odds zangu badaye nashindwa kujua nifanyeje
 
vijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.

vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.
 
Utakua unazungumzia M-Bet eeee?
Si unabonyeza hapo Juu kulikoandikwa wallet?
 
Nikibonyeza hapo kwenye chumba kilichoandikwa wallet naambiwa nifungue account ndipo naweza kutumia sasa sielewi nifungue account gan na kwa namna gan
 
vijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.

vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.
Fata mambo yako. Acha wivu wa kimama.. Lia lia wenzio tunapiga hela na ndio inatuweka mjini
 
Wananiambia log in or create a new account to pay through wallet hapo ndo sielewi nifungue account gan na kivp
 
usijisajili kwa wallet sajili kwa kutupia mpesa,airtell money au tigo pesa kwa wallet utakesha
 
vijana mnapotelea humu..... ada umeshalipa ?
hakuna njia ya mkato, fanya kazi.

vijana wengi siku hizi wanabet, wanacheza biko, tatu mzuka, dubwi n.k.
M/Mungu tuokoe na hiki kizazi.
Huu wivu ulionao sidhani kama Mzazi wako wa kike anao, hata dada zako wana wivu ila sio kama wewe.


Pambana na Kazi zako sio kila mtu ataishi kama unavyotaka wewe.

Nguruwe wa kwenye Biblia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…