Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna kuturbo halaf pia kuna spesho mechi ukibeti hizo halaf ukaliwa lakini kama kuna mechi iliishia bila bila Kati ya hizo unarudishiwa chako
Hii ya kwanza naijua,
Ila hiyo ya Special Matches ndo naisikia kwako,
Thanks kwa kunifahamisha
 
Hii siku ya leo najiona nafosi kabsa kubet,..sijiskii kabsa,mchana nilimtandika kanji pigo 1 takatifu sasa nmekua naichungulia sana hyo pesa yan,na mood ya kubet imentoka kabsaa leo...

Af hawa watoto under 20,17 wase,nge sana hawatabirik,..nadhan ngoja nipumzike tuu nsije harib pesa niliyomtandika kanj leo maana naona hawa wa Egypt siwaelew kabsaa
 
Club Sportivo
Luqueno - Deportivo Santani
In First Half Over 0.5
goals
1.33

Stade Brest - Olympique Nimes
Over 2.5
goals
1.77

Combination Odds 2.3
 
Mwenye Link ya Kujiunga lile group la whatsapp la kubet plz aitumee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…