Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimejaribu kutoa hela kwa njia ya mpesa meridian haijaja hdi leo tokea juzi.....msaada wadau nifanyeje
 
Mi nilitoa tarehe 31/3 hadi leo kimya, nilitoa hela kidogo kujaribu, nikajaribu siku ilofuata kimya, hapa nipo mbali na town nafikiri nikirudi town nichek ofcn kwao
 

hapo nimekupata hii system ya goli hata m huwa naitumia sana
 
ngoja nifumbe macho na m bet kwa hivi
Zenit win
barca win
Munich win
Dinamo kiev win
Borusia win
sharhter win
liver win
PSG win
Celtic win
Madrid win
Naskia wadau wanaisema sema liver, icje ikafanya mambo kama ya monaco jana
 
Tuchek hawa jamaa
 

Attachments

  • 1428491253769.jpg
    53.2 KB · Views: 243
  • 1428491292858.jpg
    50.3 KB · Views: 223
Za jana walifulia kwa monaco tu
 

Attachments

  • 1428491382047.jpg
    45 KB · Views: 211
  • 1428491396005.jpg
    45.9 KB · Views: 202
ngoja nifumbe macho na m bet kwa hivi
Zenit win
barca win
Munich win
Dinamo kiev win
Borusia win
sharhter win
liver win
PSG win
Celtic win
Madrid win

Hizi red zipe cap, a'fu angeza nyingine mbili. Hearts na monchegladbach. Yaani uonekane hivi:

Barcelona 2+
Real Madrid 2+
Zenit 2+
Hearts 2+
B.monchengladbach
Celtic 2+
Unaweza kuurudia Mara mbili. Timu hizi hizi unabadili ushindi.
Mkeka wa pili ubaki hivyo hivyo ila kwa Madrid na Zenit unaweka ushindi wa kawaida.

Mkeka wako uwr na timu 6 hizi nyingine achana nazo.
 
Vip betting tips ipo kwenye play store pakesi, vipi nini cha kutoa na nini cha kuongeza hapo?
 
Last edited by a moderator:

sijakusoma mkuu mi natumia M bet hile ya voda sio meridian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…