Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo kwa Stuttgart vs Hamburg cross check mkuu,naona Kama Hamburger anakufa
 
uchambuzi una asilimia 70. Mengine yanabaki uwanjani. Kumbuka huwa tunatumia rekodi. Na rekodi zipo kuvunjwa.

Ndo mana huwa nasemaga, chambua uchambuavyo lkn kumbuka ya jana si ya leo.
 
mkuu we saidia tu bila kijalisha nani analike au kuchangia. wanasema kutoa ni moyo..
 
Ukimuua barca hesabu bet lost [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahahaha mkuu acha iwe lost tu kwakweli ila hisia zinanituma hivyo


baka mes hayupo..... alaf wanjipanga na uefa madrid.... ramos isco... ronaldo hawapo wte wapo ugenini kama sijachanganya mafaili hali iko hivyo tuweni makini leo
 
kupata jina humu mbona rahisi tu mkuu unalalamika nn?
 
kupata jina humu mbona rahisi tu mkuu unalalamika nn?
Sijalalamika ila nimemjibu mtu ambaye aliuliza mbona Kama jukwaa limepoa Kuna kiringe kingine kimeanzishwa?watu wengi humu hawataki tu kusema ila wanaona Kama wako isolated waki post watu hawachangii mikeka yao .ndo maana wanapita kimya kimya huo ndo ukweli .Ni maoni yangu binafsi Wala si malalamiko.leo Ni siku mpya hebu to focus kwenye kumla mpilipili ili paska iwe tamu
 
we post, lkn uwe unaweka na mrejesho kwa kuuquote mkeka uliopost kabla na matokeo. Kesho watu watakuwa wanakuulizia wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…