nakusikitikia nimebeti humu na mikeka ya makampun tofauti ninayo na nimesha shea humu.unapiga.debe na.kampuni lako chovu !!hatujiiiiiii
no data no right to say.unapiga.debe na.kampuni lako chovu !!hatujiiiiiii
huna lolote kwenda na likampuni lako la kichovu kama ni corner hata 1xbet zipo tena hakuna kampuni itaishinda kwa option ya cornernakusikitikia nimebeti humu na mikeka ya makampun tofauti ninayo na nimesha shea humu.
miongoni mwa watu wa mwanzo kujiunga na 1xbet nimooo
meridian bado hata sijajua kama kuna online nacheza kwenye betshop nimooooo
ikaja online tukapiga keleleee mambo ya server error akaja premier bet tukamwona kama mkombozi hakuna makato ya kodi wala kudipozi tukajiungaaaa yote nikutafuta unafuu
tatizoclikawa kuchelewesha malipo.
wakaja mkekabet tukajiungaaa tukacheza tukaliwa tukalaaa (root wakusoma Buddy nyegere mtoto wa nzi na weingineo ni mashaidi)
akaja sportpesa tukajiungaaa tukatoa madhaifu yake optionchache wamekuja mcheza, galsport, princess bet na wengineo kote huko tuna account
nije kuipa promo kampuni hiio uliyo itaja? ficha ujinga wako mkuu hapa tunatembea na options kama kampuni fulani inaoption inayokuvutia na unaona inalipa kwann usishee na wenzako?
hapo nimeweka jina la kampuni kukata midomo kama ya kwako ambayo ingeuliza ni kampuni gani hiyo
ni hayo tu.
okay tufanye umeshinda. siwez bishana na mtu anaye bisha kwa hisia bila kuweka facts. nimeweka mikeka niliyocheza ktk kampuni nyingine bado unabisha. Hongera kwa ushindi niache ba kampuni yanguhuna lolote kwenda na likampuni lako la kichovu kama ni corner hata 1xbet zipo tena hakuna kampuni itaishinda kwa option ya corner
"Unaseti multibet ya 12 teams .... alafu unaziangalia vile Yesu aliangalia disciples wake na kusema one of you will betray me"
Happy Easter Gamblers
duh mara ya pili roma anauza gemu aisee namuombea apigwe ndani nje uefa dadeekiROMA umeshanifeliiishaaaa [emoji856][emoji856][emoji856]
Me limeniboa sana mkeka wa laki nne na nusu limeujambishaROMA umeshanifeliiishaaaa [emoji856][emoji856][emoji856]
Uliweekaaaa??ungeonyesha wangekupaa ushauri mapemaaa sikunyinginr ukome vizuri vinajadiliwaRoma kishachana mkeka wangu wa laki nne na nusu
Kweli mpwa vizuri vinajadiliwa..Uliweekaaaa??ungeonyesha wangekupaa ushauri mapemaaa sikunyinginr ukome vizuri vinajadiliwa
Leo aisee inaonekana ni zamu ya shetani kula,yaani utake usitake mtu lazima upasuke.Ukimuua barca anashinda,Ukimpa PSG anakuua ss sijui hata uwekeje.Inaonekana leo kila mtu anataka afe kivyake......hamtaki kushare mawazo.
.
.
Good luck wasakatonge wenzangu.
Mbabe wake msimu huu kawa dhooful hali bw Malaga ila Sevilla mh sijui km anaweza kumuwekea kigingi.Hahahahahaha mkuu acha iwe lost tu kwakweli ila hisia zinanituma hivyo
mpe city winLeo aisee inaonekana ni zamu ya shetani kula,yaani utake usitake mtu lazima upasuke.Ukimuua barca anashinda,Ukimpa PSG anakuua ss sijui hata uwekeje.