Me Thursday nimewapiga PESA ndefu sana.. sanaa sasa naona kama hawatak niiitoe... kama wengine hawatumiw sms code why mimi wanizengueNimetoa zaidi ya mara 10 mkuu. Si kwamba ndo naanza. Nimewapigia wanadai niwape national ID number, shiiida tupu.
Nenda kwenye akaunti setting uone kama kuna sehemu unaweza uka block sms code authorizationTatizo n hapa hawanitumii hiyo sms code.. hawatumiii.... ndo TatiZo..View attachment 732301
OkayNenda kwenye akaunti setting uone kama kuna sehemu unaweza uka block sms code authorization
Unge fanya full registration ile ya email sizan kama unge ulizwa ayo mambo ya National ID btw sijawah patwa na tatzo la kudeposit wala kuwithdraw 1xbetNimetoa zaidi ya mara 10 mkuu. Si kwamba ndo naanza. Nimewapigia wanadai niwape national ID number, shiiida tupu.
Haya malalamiko yasiyokwisha yananifanya nisite kuendelea kuwaamini 1xbet, bora nihamie Premier bet.Nimetoa zaidi ya mara 10 mkuu. Si kwamba ndo naanza. Nimewapigia wanadai niwape national ID number, shiiida tupu.
Mkuu mimi nimejaribu kufanya full registration mara kibao lakini kila nikiingiza namba sahihi ya kitambulisho naambiwa sio sahihi...hadi nimekata tamaa, nimeghairi!Unge fanya full registration ile ya email sizan kama unge ulizwa ayo mambo ya National ID btw sijawah patwa na tatzo la kudeposit wala kuwithdraw 1xbet
Japo nna zaid ya week ya 3 sija bet kwa 1x
mkuu huwenda kunasehem ya setting bado hatujaijua kwangu mimi niki confirm huwa zinakuja bila kuombwa code yoyoteTatizo n hapa hawanitumii hiyo sms code.. hawatumiii.... ndo TatiZo..View attachment 732301
Hiyo ""SMS CODE"" huwa wanaituma ikiwa ndo kwanza unatumia hiyo namba, au ulibadilisha namba.Me Thursday nimewapiga PESA ndefu sana.. sanaa sasa naona kama hawatak niiitoe... kama wengine hawatumiw sms code why mimi wanizengue
Hili tatizo hata mimi liliwahi nisibu....kilichonikuta ni kuchezea pesa yote niliyokula,hizo code hawajanitumia mpaka leomkuu huwenda kunasehem ya setting bado hatujaijua kwangu mimi niki confirm huwa zinakuja bila kuombwa code yoyote
View attachment 732389
Code hutumwa kwenye namba uliyojisajilia au email, sasa inabidi ukumbuke uliweka uwe unatumiwa wapi/?ktk text au mailHili tatizo hata mimi liliwahi nisibu....kilichonikuta ni kuchezea pesa yote niliyokula,hizo code hawajanitumia mpaka leo
Ok....ngoja nifanye kautafiti kidogo kabla ya kufanya maamuzi mengine.Code hutumwa kwenye namba uliyojisajilia au email, sasa inabidi ukumbuke uliweka uwe unatumiwa wapi/?ktk text au mail
Poleni sana wadau wote mnaosumbuliwa kutoa pesa zenu maana kiukweli inakera sana maana mtu unachezea za uso muda mwingi halafu ukibahatika kuwala milolongo ya kupata pesa yako inaanza,nadhani ni muda wa kuwafikishia Ujumbe kuwa waboreshe taratibu zao ama sivyo watakuwa sio watu salama kufanya nao kazi hivyo itabidi kutafuta njia mbadala.Hiyo ""SMS CODE"" huwa wanaituma ikiwa ndo kwanza unatumia hiyo namba, au ulibadilisha namba.
So, wanatuma SMA CODE kama kuCONFIRM hiyo namba.
Na unapotoa kila mara, ile SMS CODE inaondolewa...Yaan unakuwa hauambiwi tena mambo ya SMS CODE.
Nzuri Mkuu...nahisi utakua umenifananisha, mimi huwa sina group zaidi ya hii thread MkuuOk....ngoja nifanye kautafiti kidogo kabla ya kufanya maamuzi mengine.
.
.
Habari za siku nyingi lakini?
Lile group letu la risk takers bado lipo?