Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Binafsi yangu mwenzenu leo naona cku imekuwa mbaya maana sina mkeka hata mmoja yaani full mauzauza nilifanikiwa kutoa tiketi moja tu ile ya kichwa chini miguu juu basi nimekubali ngoja niendelee kuwapa company tu wenzangu.
 
umetiki au bdo wausklziaaa
 
Game mbili zimeahirishwa Na mbili zimetoa [emoji736][emoji736]
 
Jaribu kuiangalia kwenye email yako huenda wameituma huko
Utupe mrejesho lakini
Mzee, Umetoa hela leo 1XBET?

Namimi wameanza kuzingua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NaWITHDRAW wanaleta hiyo ya kuingiza CODE
 
Wakuu mkifanya kunicopia na kupaste hapa matokeo ya Ligue 1 na Ligue 2 za England mtakua mmenisaidia sana. Sina bando na maduka ni mbali kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…