Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thanks man ... mpunga umeingiaaa fresh kbsaaa....! Nilisumbuka for 5 days..... salute man... full appreciate..! Sema hawa wazungu wanaongea kingereza kigumu sanaaa..
Dah mkuu km umefanikiwa kutoa mpunga basi kiungwana waweza mforwardia japo hata ya tichet moja ya kibingwa huyo mdau aliyekupa support tangu mwanzo mpaka mwisho coz sijamuona kuchoka kukupa support mpaka umefanikisha as long km umewapiga mpunga wa kutosha km ulivyodai.
Ni wazo tu la kiuungwana.
 
Nshawai kukufata nikala hii pesa nmeifata
 

Hivi 3way 11.85 au 21 ndio option gan sijaelewa wakuu
 

Chukua
*Hibernian
*Aston Villa
*Bayern
*Atalanta
*Wolves
*
 
Hivi hawa mbet wanachukua muda gani kulipa Mkeka Wenye Mechi iliyokuwa Postponed, maana mimi toka jana sijalipwa zaidi ya masaa 24 sasa .. Msaada
 
Kweli mkuu watu tumekariri football,. Jana nilijarib tennis Kweli mkuu watu tumekariri football,. Jana nilijarib tennis TIE BREAK nkawa naweka no naona zilikubali, au ukicheza number of sets ukaweka under 2.5 nying zinakubali natimia 1x bet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…