Polee sanaa mzee... Me kalala na 84k yangu mbelee makuu yuleeWolves 250k lost
Yanii mpaka hasiraa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]Huyo jamaa amenifanya kitu moja mbaya sana......
Mimi nilimpa either half ashinde nikaona anakata mauno huyo jamaa aliejifunga ndio aliharibu kila kitu .....
Wolves wangeshinda hii game
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kudadeki yani vikapu viwili tu vinaninyima hela dah
J2 alikuwa virrareal.... j3 porto... jana wolve na atalanta leo niko nasuka mkeka nataka nijilipue pesa ndefuPolee sanaa mzee... Me kalala na 84k yangu mbelee makuu yulee
Ila nimeamini ukitenga laki tano... daily unatia 100k kwa mechi mbili tatu na hakika mwisho wa mwezi unamkimbiza Dr kwenye mshahara [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha mambo yaende sawa ila yakienda kinyume unaweza pata vistress vya ghafla maana ukipigwa 100k × 3 unaweza kuanza kuona mapichapicha ya shetani.Ila nimeamini ukitenga laki tano... daily unatia 100k kwa mechi mbili tatu na hakika mwisho wa mwezi unamkimbiza Dr kwenye mshahara [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Haha kwa timu kubwa kupoteza ni mara chache mzee... ila ukiliwa hiyo laki itabidi unywe lijibapa kubwa kutoa maumivu mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahaha mambo yaende sawa ila yakienda kinyume unaweza pata vistress vya ghafla maana ukipigwa 100k × 3 unaweza kuanza kuona mapichapicha ya shetani.
Hizo hapo M-BET care 0689 755999 au 0689 749999 wacheki.WAKUU MWENYE NAMBA ZA PREMIER BET ANISAIDIE AISEE,LEO NI SIKU YA TATU TANGU NITOE HELA KWENYE ACCOUNT, SIIJAPATA BADO,TANGU J.3 SAA 9:30 ASBH.
Ss kuwa makini leo asitokee mwingine hiyo pesa ndefu ikaenda na maji.J2 alikuwa virrareal.... j3 porto... jana wolve na atalanta leo niko nasuka mkeka nataka nijilipue pesa ndefu
Leo barca... man city... celtic na monaco nawapa straight win nasubili mpunga tuSs kuwa makini leo asitokee mwingine hiyo pesa ndefu ikaenda na maji.
Dah basi sijui inakuwaje mi nimetoa hela nusu saa iliyopita na imechukua km dakika 2 ikawa imeingia,hebu jaribuni namba hizo kuanzia SAA nne asubuhi ndo huwa wanapokea cm.Mkuu namba zao zote azipatikani..me mwenyew nimetoa 50k yang kwanzia juzi mpaka saivi awajanicheki
Mkuu hizi namba ni za M - BET?.au typing errors??Hizo hapo M-BET care 0689 755999 au 0689 749999 wacheki.
Duuh pole sana kiongoz,vip wew status yako inasomaje??Mkuu namba zao zote azipatikani..me mwenyew nimetoa 50k yang kwanzia juzi mpaka saivi awajanicheki
M-Transfer payout
Hata mm kiongoz inasoma hivyo hivyoM-Transfer payout
Shukran Mkuu Ila namba ya juu imefungiwa huduma,na ya chini haipatikanVoice call +255 755 700 715
Voice call +255 626 064 800
anza na hiyo ya juu (nadhani ni ya bosi) ujiandae kutema kizungu japo sijazitumia muda mrefu so sijui ka ziko hewani ila niliwahi kupewa suluhisho kupitia nama hizo.
ukimalizana na hiyo yeye atakudirect kwa mtu atakayetatua ishu yako
au kama upo mjini kati waibukie ofisini chap