Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari zenu naomba msaada kila nikitaka kutoa hela meridian kwa njia ya Mpesa inarudishwa
 
Shukran Mkuu Ila namba ya juu imefungiwa huduma,na ya chini haipatikan
Hata mm kiongoz inasoma hivyo hivyo
m- transferstatus-IPR
bonyezeni hapo kwenye wasap mtapata namba za mawasiliano. ila naona last seen ni yesterday aikirudi hewani tu pambaneni nae

hili swala inaonekana ni kwa wengi labda watakuwa wamepigwa mzigo wa maana hivyo wanakusanya kusanya kwanza za kuwalipa
 

Attachments

  • IMG_20180404_102616_259.JPG
    57.7 KB · Views: 62
Msaada kwenye tuta. Nimevuta laki moja toka Premium bet siku ya NNE Leo sijaipata hiyo pesa. Kwenye wallet imetoka ila kwenye mpesa yangu sijawekewa. Kuna namba yao ya huduma insishia na 0766895903 ila haipatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…