Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu pole sana ila ungekua unasoma post zetu humu may be yasingekukuta. Jana tu tumetoka kuwaongelea hao wa Italy walivyo, uyo Juve unayesema utambetia ndio kabisaaaa aliwahi kupanga matokeo akashushwa daraja pamoja na kupokonywa ubinga. Italia mi kwangu ni ligi ya kucheza magoli, kona na yellow card tu
 
Barca WIN
Copenhagen WIN
Marseille WIN
Tottenham over 2.5

Nikongeza mchawi BENFICA WIN.

Daah very disappointed
 
Lengooo MOJA tule pamojaaaaa
NIliwahi semaa walioanzisha grp zao za kuwaibia WATU what's up tokahumu nikaunganishwa nkaanza kuwatumia tips hizihizi..mwisho naafwatwa inbox we n pdidy sidawi nkajibu ndio
Nkaonaa mpuuzi MMOJA kaandika HUYU n wakala wa khanji namjua toka jf...mwingine kaandikaa tena siosmtz kha ..niliwajibu akifa pdidy watanyanyuk a WENGINE src ZOOTE nimeziweka hapa ...tupendane

WALIOFWATAA [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOMZOTEEE[/HASHTAG]
 
[HASHTAG]#KABOOOOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
@PRINCEG.E.M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…