Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku ya jumanne huwa natumia mbinu zote... Lakini lazima nipigwe tu... Siipendi hii siku
 
Msaada namna ya kuangalia mkeka wangu kwenye princes bet
 
vp mjomba ujauchana bado
 
Hapa nipo mweupe najikuna kichwa
Alaaa niliangalia vibaya nikadhani unajikuna nanihiiiiii!!!![emoji1] [emoji1] kumbe kichwa,Angalia mkuu usije ukanyofoa tu nywele maana najua hela ya kuoteshea zingine km Wayne we huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…