Cha ajabu always ni moja tu ndo inaaribu ka leo ni chelsea tu, jana ni man tu ndo kachana..Mmmh unajiamin
Iyo inatokeaCha ajabu always ni moja tu ndo inaaribu ka leo ni chelsea tu, jana ni man tu ndo kachana..
chelsea 0 - 0vp mjomba ujauchana bado
Noma sana mkuuAlaaa niliangalia vibaya nikadhani unajikuna nanihiiiiii!!!![emoji1] [emoji1] kumbe kichwa,Angalia mkuu usije ukanyofoa tu nywele maana najua hela ya kuoteshea zingine km Wayne we huna.
Accumulator outcomes inabidi iwe option moja tu kwa kila mkeka. Huwezi kuweka zaidi ya moja1xbet hapo nini tatizo maana najaribu kubet wanaleta udambwi udambwi sielewiView attachment 875702
Duuu me nimeweka 4Accumulator outcomes inabidi iwe option moja tu kwa kila mkeka. Huwezi kuweka zaidi ya moja
Hapana mkuu. Tayari ushaambiwa "Accumulator" sio Single hiyo.Duuu me nimeweka 4
Mkuu wengine tumeanza kuota uparaMkeka umeliwa na Man U wapambe wamekosa mkeka wa kukalia wamekimbia kijiwe.. Ahahahaha! Guys njooni mapambano lazma yaendelee tu.
Kafanyaje mkuuGalatasaray ...
Hiyo chupi ya Dp yako si mchezo...Mkeka umeliwa na Man U wapambe wamekosa mkeka wa kukalia wamekimbia kijiwe.. Ahahahaha! Guys njooni mapambano lazma yaendelee tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hiyo chupi ya Dp yako si mchezo...
Wengine tunashindwa plaece bet kisa hiyo chupi mkuu...
Naomba ubadili Dp...
Naona mashavu yanaonekana hapo so niki place bet naliwa tu Mkuu..[emoji2] [emoji2] [emoji2]